HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Sunday, September 28, 2008
Mwanangu Hennah Gariella Ramadhani akiwa kwenye mapozi, Bryant Park, New York
Je! Unamjua huyu?
Saturday, September 27, 2008
Kama anavyoimba dada Saida Karoli "Mimi na wewe tumetoka mbali".
Nikiwa na wife kwenye miaka ya Tisini.
Jiji letu la Dar es Salaam linazidi kukua na kupendeza.
Dar inaweza kushindana na Majiji mengine makubwa barani Afrika.
Nikipokea Nondozz, St. John's University, New York.
Thursday, September 25, 2008
Kutoka kushoto: Ramadhani, Athumani, Salehe, Kasimu, Garry na Fundi.
Toka kushoto: Fundi, Kasimu, Salehe,
Mama, Athumani na Ramadhani.
Nikiwa na wife siku za karibuni.
Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Wanja letu kama linavyoonekana kwa ndani wakati wa mechi.
Wanja letu linavyoonekana kwa nje.
Ikulu yetu aliyotuachia Mjerumani.
Dar inavyoonekana tokea Baharini.
Moja ya majengo marefu Dar ni hili la Mafuta House.
Majengo ya Benki Kuu (Twin Towers)
Jiji la Dar es Salaam na mkono wa Bahari kama inavyoonekana tokea angani.
Saturday, September 20, 2008
Nadhani Bush anamwambia Kikwete - "jitahidi ndugu sisi ni marafiki zako Wachina wanawadanganya". Hapana mzee Kichaka, sisi hatufungamani na upande wo wote.
Thursday, September 18, 2008
Nikitoa nasaa kwa maharusi kwamba wanapaswa kuzingatia vitu vitatu muhimu:
1. Amani 2. Upendo 3. Uvumilivu
Nikiwa na Mheshimiwa Rais Jijini New York, safari yake ya mwisho kabla ya kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tuesday, September 16, 2008
Nikiwa na Director of Executive Management Training for Macy's East.
Sunday, September 14, 2008
Nimepoz na mwanangu Kombo.
Hapa nimepoz na mwanangu wa kike Hennah G.
Wengi waliniambia madevu yalinipendeza zaidi, lakini wengine waliniita Osama.
Saturday, September 13, 2008
Noti yetu ya shilingi Ishirini ya miaka hiyo!!
Wakati wake iliweza kununua bia 2 na chengi ukarudishiwa.
Waziri Mkuu wetu wa enzi hizo, hayati Edward Moringe Sokoine alisifika sana kwa uhadilifu. Hapa akiwa ziarani China.
Hayati Edward Moringe Sokoine.
Wednesday, September 10, 2008
Wadau wakiwa kwenye mnuso wa kuwaaga maafisa wa ubalozi New York.
Tuesday, September 9, 2008
Tulipotembelewa na mkuu wa nanii. Toka kushoto: Freddy, Mkuu wa Nanii, Shaban, Musa, Fundi, Richard na mdau mwingine.
Mwalimu Nyerere akiwa na familia yake Ikulu Dar es Salaam.
Alijulikana na kuheshimika na viongozi maarufu duniani kote. Hapa akiwa na JFK Ikulu ya Marekani.
Hakuwa mpenda makuu. Mwalimu alikuwa mpenzi sana wa kucheza bao. Hapa yuko na Mama Maria, Mzee Mwinyi na wazee wengine.
Baba wa Taifa
Sunday, September 7, 2008
MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA Vijana wakiwa kwenye mnuso wa summer.
Mimi, Geogina, Chris na Hyiasinta
Niko na mwanangu Kombo kwenye treni za chini kwa chini
Niko na wanangu Hennah na Kombo Bryant Park, New York.
Niko na bi mzuri Hennah
Niko na mameneja wenzangu.
Niko mafunzoni na wenzangu.
Baada ya kupewa vyeti.
Kwa mikono sijachacha. Niko na wife na bi Mary. Harusini Dar