HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Sunday, November 2, 2008
Huyu ndiye "Joe The Plumber" (Joe Wurzelbacher) ambaye amekuwa akizungumzwa sana na kina Mcain/Palin. Wameamua kumtumia huyu jamaa kwenye siku za mwisho za uchaguzi kuona kama ataweza kuwasaidia kuleta ushindi. Wakati mwingine siasa na kampeni za Wamarekani zinachekesha sana.
No comments:
Post a Comment