HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Sunday, November 16, 2008
Katika jamii ya Kitanzania kina mama siku zote wamekuwa wakijihibidisha kwa kufanya biashara ili kusaidia familia zao...kama inavyoonekana katika picha hizi mbili wakiwa sokoni Lushoto, Tanga na Moshi, Kilimanjaro. Mbali na kujihusisha na vibiashara vya hapa na pale, vile vile wanabeba jukumu zito la ulezi wa watoto katika familia. Siku zote wanastahili tuwape pongezi na heshima kubwa.
No comments:
Post a Comment