HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Monday, November 10, 2008
Kitu ambacho mpaka leo sijaweza kukielewa ni kuhusu huu mgogoro unaoendelea Kongo. Mimi siamini kabisa ya kwamba majeshi ya pande zote mbili yanapigana kwa niaba ya kutetea maslahi ya hawa wananchi, bali ni ujinga na uroho wa madaraka ambao hatimaye unasababisha kuteseka kwa mamia ya raia wasio na mbele wala nyuma. Sijui ni lini hawa wanaojifanya ni viongozi watakigundua hicho?
No comments:
Post a Comment