HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Friday, November 21, 2008
"Umulike ndani na nje ya mipaka nchi yetu na ulete matumaini, haki na upendo"....ndio yalivyokuwa makusudio ya viongozi wetu baada ya uhuru kama ilivyorihirishwa na shujaa Capteni Nyirenda kwa kuupandisha mwenge na bendera yetu juu ya kilele cha Mlima Kilimanjaro. Watanzania tulio wengi bado hatuna hakika kwamba kweli kuna matumaini, haki au upendo katika nchi yetu.
May you rest in peace Uncle Robert Gwebe Nyirenda!
ReplyDelete