HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Thursday, January 8, 2009
Coco Beach ni sehemu anayowavuta watu wengi sana wakati wa sikukuu, lakini iko haja ya usimamizi mzuri wa sehemu kama hizi ili kuzuia maafa yanayoweza kutokea kutokana na msongamano mkubwa wa watu.
No comments:
Post a Comment