HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Saturday, January 24, 2009
Habari za kukamatwa kwa Nkunda ni za kutia moyo, lakini tusubiri tuone kama kweli kutakuwa na amani ya kudumu ili hawa ndugu zetu wasiendelee kuteseka. Kila ninapoziona sura za hawa watoto siachi kuwafikiria wanangu... hawastahili kabisa kuwekwa katika hali kama hii!!
No comments:
Post a Comment