Thursday, January 15, 2009

Haya ndio makao makuu ya Microsoft yaliopo kwenye jimbo la Washington. Kuna fununu kuwa wiki ijayo Microsoft itatangaza kupungunguza baadhi ya wafanyakazi wake kutokana na hali mbaya ya kiuchumi inayoendelea dunia nzima kwa sasa.

No comments:

Post a Comment