Friday, January 16, 2009

Kwa kuangalia picha hii, je unadhani jamaa wa pili kushoto(ama tuseme Mkuu wa nani..) alikuwa anamwambia nini mpiga picha hii?

2 comments:

  1. Inawezekana camera man alikua na pozi; Jamaa anamwambia usituletee pozi hapa na kikamera chako cha uchwara.

    ReplyDelete
  2. Ndugu Kombo na Bwana Michuzi,
    Tunawashukuru sana kwa kazi nzuri mnayoifanya. Huyu ndugu Michuzi anamsanifu mpiga picha kwa sababu yeye (Michuzi) ni zaidi. Pongezi zote ni kwenu (Kombo & Isa) kwa kutu-link na blog za wakwetu (Tanzania) popote katika mtandao

    ReplyDelete