HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Sunday, January 25, 2009
Mojawapo ya hoteli nzuri jijini Dar ni hii ya Movenpic, ambayo imesaidia sana kupendezesha sehumu hii ya kajiji ketu. Ukuaji wa jiji letu ni muhimu na ni jambo zuri hasa ukuaji huo ukienda sambamba na upatakaninaji wa huduma muhimu kama vile maji, umeme, uzoaji wa takataka na maji machafu n.k.
No comments:
Post a Comment