HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Sunday, January 25, 2009
Msongamano wa magari ni tatizo katika miji mingi duniani. Pichani ni udhibitisho huo pale Los Angeles, California ambako msongamano ni karibu kila siku na husababisha hata uharibifu wa mazingira kutokana gasi ya moshi itokayo kwenye magari hayo. Katika miji yetu mingi kumekuwa na ongezeko kubwa la magari bila ya kuwa la namna ya kupambana na ongezeko hilo. Hili lisipotizamwa vizuri linaweza kuwa tatizo sugu kama la Los Angeles.
No comments:
Post a Comment