Wednesday, January 14, 2009

Mwanadada Beyonce Knowles atakuwa ni mmojawapo wa wanamuziki mashuhuri watakao tumbuiza wakati wa sherehe za kuapishwa kwa Barack Obama.

1 comment:

  1. Ombi langu kwa Beyonce: Dada tafadhali naomba utuvalie nguo za kiheshima ukienda kutumbuiza huko White house ama sivyo nitakuvisha khanga mimi mwenyewe maana nitakuwepo na darubini yangu nikikuangalia

    ReplyDelete