Thursday, January 15, 2009


Sehemu nyingi hapa Marekani kwa sasa ni kiwinta cha nguvu chenye mchanganyiko wa baridi kali na snow. Hali hii inavutia kwenye picha tu...si ya kupambana nayo laivu(live).

No comments:

Post a Comment