HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Tuesday, January 20, 2009
Yakiwa yamebakia masaa machache tuu, macho na masikio ya mamilioni ya watu yataelekezwa kwenye sehemu hii mashuhuri katika kushuhudia kuapishwa kwa Rais wa arobani na nne wa Marekani, Barack Hussein Obama. Sasa hivi wako kwenye matayarisho ya mwisho ya siku hii kubwa ya kihistoria na ya kipekee katika Taifa hili lenye historia ndefu ya maangaiko ya watu weusi kunyanyasika na kunyimwa haki zao za kimsingi.
No comments:
Post a Comment