Friday, January 9, 2009


Zimebakia siku kumi na moja kuanzia leo, kwa machozi ya kina Rev. Jesse Jackson na wengine wengi kutiririka zaidi kwa furaha ya kumuona bwana Obama akiapishwa kuwa Rais wa arobaini na nne wa Marekani. Machozi ya Rev. Jackson ni mchanganyiko wa furaha na huzuni, kwani inamkumbusha safari ndefu waliyopitia kufikia hapa pamoja na kutokuamini kwamba hili lingewezekana katika karne hii. Hawa wenzetu walinyanyasika sana siku za nyuma na kwa kiasi fulani bado hali hiyo ipo katika baadhi ya sehemu nchini humu(Marekani).

3 comments:

  1. naomba fundi unielekeze jinsi ya kukutumia habari, vilevile naomba ujitahidi sehemu ya maoni tuwe tunaona picha au habari tunayoitolea maoni, mdau USA,

    ReplyDelete
  2. Yes mdau wa USA think ame2elewa ombi letu.gud blog.
    add me pls.
    www.waukweli.blogspot.com

    ReplyDelete
  3. Kaka Fundi huyo anayelia hapo ni mnafiki tu. Siye aliemtukana Obama wakati alidhani microphone ishazimwa? Au analia kwa kuona mwenzie kapata? Yeye alijaribu akakosa?

    ReplyDelete