Sunday, February 8, 2009

Bichuka na Bi. Shakila wametoa mchango mkubwa sana kwenye nyanja ya musiki Tanzania, hususan ule wa dansi na taarab. Wakongwe hawa wa musiki inabidi tuwaenzi, kwani pengine bila wao tusingekuwa na vipaji tulivyonavyo waleo. Asanteni sana Bichuka, Shakila na wengineo wengi!!

No comments:

Post a Comment