Wednesday, February 18, 2009

Kivutio kimojawapo cha Jiji la New York ni Rockefeller Plaza pale Manhattan ambako kuna hili sanamu la rangi ya Dhahabu na sehemu kubwa ya kuteleza kwenye barafu wakati wa kipindi cha baridi. Vile vile kuna migahawa na sehemu nzuri za kujipumzisha kwa matembezi na familia.

No comments:

Post a Comment