

Kweli maisha yamebadilika!! Zamani kwenye miaka ya sitini mpaka kufikia katikati ya miaka ya themanini noti ya Shilingi Mia Moja ndiyo ilikuwa yenyewe(ukiwa na Wamasai wawili - wikiendi safi), lakini sasa hivi lazima uwe na noti za Elfu Kumi kama sita hivi(na kwa kujibana bana), la sivyo mambo wasi wasi.
No comments:
Post a Comment