HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Thursday, February 26, 2009
Mkuu wa uendeshaji wa kampuni ya simu za mkononi Vodacom Peter Correia akimkabidhi Bi Mariam Hamidu aliyelazwa katika hospitali ya Mwananyamala moja ya zawadi zilizotolewa kwa wagonjwa wakati wa kusherehekea siku ya vodacom foundation ambapo walikabidhi msada wa Vitanda kwa Hospitali za mkoa wa Dar es Salaam,Temeke,Amana,Mwananyamala vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 40.
No comments:
Post a Comment