HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Monday, March 2, 2009
Kuanzia jana usiku na kuendelea mapaka leo, sehemu nyingi za kaskazini mwa Marekani zilipata kiwinta cha nguvu sana hivyo kusababisha mashule kufungwa kwa siku nzima ya Jumatatu. Pichani juu ni sehemu ya bustani ya kati(Central Park) na majengo ya Manhattan Jijini New York yanavyoonekana leo asubuhi.
No comments:
Post a Comment