HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Thursday, March 19, 2009
NAIBU WAZIRI WA HABARI,MICHEZO NA UTAMADUNI,JOEL BENDERA(KULIA)AKIONGEA NA VYOMBO VYA HABARI JUU YA UZINDUZI WA VODACOM DAR MARATHONI ZITAKAZOTIMUA MBIO MWEZI WA SITA TAREHE 21.(KATIKATI)MKUU WA UDHAMINI NA MAWASILIANO WA VODACOM TANZANIA,GEORGE RWEHUMBIZA,(KUSHOTO)MKURUGENZI WA MASOKO WA VODACOM TANZANIA EPHRAIM MAFURU.
No comments:
Post a Comment