Thursday, July 22, 2010

Gabriel Obertan wa Manchester United akishangilia baada ya kufunga bao katika dakika ya 76 walipocheza na Philadelphia Union. Manchestar United wako ziarani nchini Marekani kwa mechi kadhaa na timu mbalimbali. Mechi hiyo ya tarehe 21/7/2010 ilikwisha kwa Manchester United kupata ushindi wa bao moja bila.

No comments:

Post a Comment