HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Thursday, April 5, 2012
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe Azungumza na Umati Wa Wananchi Ofisi NdogoYa Chadema Mkoani Arusha.
Mwenyekiti wa chadema Freman Mbowe katikati akitoa hotuba yake kwa wananchi kushoto ni mbunge mteule wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nasari na kulia ni Godbless Lema aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arusha mjini mara baada ya hukumu kutolewa.Picha na Habari na Gladnedd Mushi-Arusha
Mama anaekadiriwa kuwa na Umri wa Miaka 56 Mwanachama wa Chadema Akiwa Amepoteza Fahamu Kwa Kushitushwa na Taharifa Hizo za Mh Lema Kuvuliwa Ubunge wa Jimbo La Arusha.
No comments:
Post a Comment