HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Saturday, May 12, 2012
DEO FILIKUNJOMBE APOKELEWA KAMA MFALME LUDEWA.
Mbunge wa jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe, akiwa katika usafiri wa punda wakati wa mapokezi yake yaliyopita katika mitaa mbalimbali na kutembea kwa miguu zaidi ya kilometa 5 hadi mjini Ludewa leo. Filikunjombe amepokelewa na baadhi ya vijana wanaopata msaada wa kusomeshwa na mbunge huyo ambao ni wenye itikadi tofuti na wanachama vya CCM na Vyama vya upinzani.
Maandamano makubwa ya kumpokea shujaa wa kupambana na vitendo vya ufisadi mbunge Deo Filikunjombe leo.
Maandamano makubwa ya kumpokea shujaa wa kupambana na vitendo vya ufisadi mbunge Deo Filikunjombe leo.
No comments:
Post a Comment