HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Monday, May 14, 2012
MHARIRI WA MTANZANIA MAREHEMU RACHEL MWILIGWA AAGWA NA KUZIKWA LEO
Geneza lenye mwili wa
marehemu Rachel Mwiligwa, likiwa kanisani leo wakati wa ibada maalum
ya mazishi. Marehemu Rachel Mwiligwa alifariki usiku wa kuamkia Ijumaa
iliyopita na amezikwa leo huko Goba jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Radio One Deo
Rweyunga (kulia) na Mwandishi wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Boniface Makene, wakiaga mwili
wa marehemu Rachel.
<><><><>>
Mbunge wa jimbo la Ubungo John Mnyika
akitoa heshima zake kwa marehemu huku akiwa ameongozana na Mbunge wa
jimbo la Kinondoni Idd Azan.
No comments:
Post a Comment