Mwenyekiti wa Chama
Cha Mapinduzi Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akizindua tovuti pamoja
na Blogu ya CCM wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya
Ofisi Makamo Makuu ya CCM Mkoani Dodoma jana jioni. Kushoto kwake ni
Katibu mwenezi wa CCM Nape Moses Nnauye, Watatu ni Makamu wa CCM Bara
Pius Msekwa, Wanne ni Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama na viongozi
wengine waandamizi wa Chama.
|
No comments:
Post a Comment