Beki
wa zamani wa Klabu ya Simba, aliyekuwa na ndoto lukuki ya siku moja
kuvaa jezi ya rangi ya Njano na Kijani na kuichezea Klabu ya Yanga,
Kelvin Yondan, (wa Pili kushoto), aliyesajiliwa hivi karibuni akishiriki
na wachezaji wenzake wakati akikaribishwa na wachezaji hao alipofika
kwa mara ya kwanza kushiriki mazoezi ya timu hiyo, leo yaliyofanyika
Uwanja wa Kaunda Dar es Salaam.
Friday, June 22, 2012
MANJI A APIGA MAGOTI KWA WANACHAMA WA YANGA, ATUA JANGWANI KUFANYIWA USAILI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment