| Amir
Khan bondia wa Uingereza leo amepigwa kwa mara yakwanza kwenye historia
ya career yake ya ngumi na Danny Garcia kwa kipigo kikali sana,
akidondoshwa mara ya tatu kwenye raundi nne za kwanza na hatimaye refa
akaamuru mchezo umalizike baada ya Muingereza huyo mwenye asili ya
kidosi kudondoshwa kwa mara ya tatu. |
No comments:
Post a Comment