Thursday, August 16, 2012

GWIJI WA BONGO FLEVA SUGU KUFUNGUA TAWI LA CHAMA MAREKANI

Gwiji wa Bongo Fleva nchini, Joseph Osmund Mbilinyi maarufu kama Sugu, ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Mbeya mjini Agosti 25, mwaka anatarajiwa kufunga rasmi wa tawi la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jijini Houston Texas  Marekani, kwa pamoja na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe. Sherehe za ufunguzi wa tawi hilo zitaanza mida ya saa saa 11:00 jioni kwa saa za huko. 

No comments:

Post a Comment