Huyu ni mama wa Sylvester Stallone aka Rambo jina lake ni Jackie Stallone, jina lake la kuzaliwa ni "Labofish'" picha hizi ni alivyo kuwa kwenye red carpet iliyo fanyika katika ukumbi wa Grauman's Chinese Theatre, huko hollywood CA alivyoenda kum suport mtoto wake Sylvester kwenye premiere action movie ya The Expendables 2.
Family affair: Sylvester Stallone was joined by wife Jennifer Flavin and their three daughters, from left Scarlet, Sophia and Sistine |
Jackie Stallone aka Labofish, aki pose mbele ya camera na akiachia tabasam iliyo enda shule, midomo na sura kitu mchina hicho ana miaka 90 kazi kwako ndugu msomaji je na wewe utaki kuzeeka???????
No comments:
Post a Comment