Friday, August 24, 2012

MH. ABDULHAMAN KINANA AWASILI DC TAYARIKWA UFUNGUZI WA TAWI LA CCM HIYO KESH

Mh. Abdualhaman Kinana akiwa na viongozi wa matawi ya CCM New York na DC, kushoto mwana Yacob katibu wa tawi la  DC, bwana Shaban katibu wa tawi la  NY, Mh Abdulhaman Kinana na Loveness mwenyekiti wa tawi la  DC leo hii baada ya kumpokea.


No comments:

Post a Comment