Nyumbani kwa bunge la jamhuri wa muhungano wa Tanzania Dodoma yetu hiyo, kwa wale walio ughaibuni na awajafika nyumbani miaka ya hivi karibuni ndio Dodoma yetu inavyoonekana
Dodoma city center hapo |
Huu ni mnara wa sanamu ya kumbukumbu ya baba wa Taifa uko Dodoma
Muammar Gaddafi Masjid, imeletwa kwenu na Ny Ebra, New York |
No comments:
Post a Comment