Wadau na watanzania wote kwa ujumla, Dada yetu Juliana Pierre, anahitaji sana msaada wenu wa kuweza kumtangaza kwa ajili ya Fainali hizo alizoingia za Miss East Africa Belgium 2012.
Anahitaji kuweza kupata watu wengi zaidi kwenye ukurasa wake wa Facebook zaidi ya washiriki wenzake kwa kuingia na ku bonyeza "like" Bofya kwenye link hii chini:http://www.facebook.com/JulianaPierreFinalisteMissEastAfricaBelgium2012

Muunge mkono mwakilishi wetu huyu kwenye Fainali husika kwa kuongeza idadi ya kufahamika kwake, kwani kuingia kwako na kubofya 'Like' tayari utakuwa umemuongezea kura zake kwa kuongeza idadi ya watu wanaoingia katika ukurasa wake.
''Juliana ameweza nasi, Tumuwezeshe Tusimuangushe''Tangaza Vipaji Vyetu,Tangaza Utalii Wetu, Tangaza Tanzania.
No comments:
Post a Comment