
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia jambo na Bibi Koku ambaye aliwahi kuwa Katibu wa CCM katika Wilaya mbalimbali nchini ikiwapo Dodoma, Kongwa na Mwisho Wilaya ya Kasulu wakati wa Mfumo wa Chama Kimoja.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete akianzisha rasmi matembezi hayo ya Mshikamano.

Matembezi yakiendelea
Brass Band ikiongoza matembezi hayo.

Viongozi mbalimbali wakishiriki matembezi hayo.


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete akisalimia wananchi marabaada ya kumaliza matembezi hayo.

JK akiwapungua mkono wakazi wa Kigoma

Viongozi wa juu wa UVCCM Taifa, Sadifa Abdallah na Mboni Mhita (kulia)

Mkazi huyu alitoka barabarani na Binti yake

Ulinzi ulikuwepo wakutosha

Wananchi waliojitokeza katika matembezi hayo.

CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeh!!!!
Posted in:
No comments:
Post a Comment