MKUTANO WA JUMUIYA YA WATANZANIA, NEW YORK
Mhe. Naibu Mwakilishi Balozi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa mataifa New York, Ramadhani Muombwa Mwinyi (kulia)akiufungua mkutano mkuu wa kwanza wa Jumuiya ya Watanzania New York, uliofanyika Jumapili Feb 24, 2013 Harlem, New York nchini Marekani na kuhudhuriwa na Wanajumuiya hiyo. Watu wengine katika picha tokea shoto ni Omar Ally wa Pennsylvania ambae ni mwenyekiti wa Zanzibar DIASPORA, Shabani Mseba, katibu Jumuiya ya Watanzania New York na Hajji Khamis, Mwenyekiti Jumuiya ya Watanzania New York .
Mshauri wa maswala ya Uhamiaji Bwn. Orlando akielezea maswla hayo
Muasisi wa chama cha siasa CUF Dr. Chemponda akiwapongeza wanajumuiya wa New York kwa kueka itikadi za vyama pembeni na kuwa wamoja kama Watanzania na si CCM, CHADEMA, CUF au chama chochote cha siasa wanachoshabikia.
Wageni waalikwa wakiwemo maafisa Ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa, New York
Juu na chini ni Wanajumuiya wa New York wakifuatilia mkutano
kwa picha zaidi bofya read more
No comments:
Post a Comment