HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Monday, February 18, 2013
WAZIRI WA MAMBO YA NDANI, EMMANUEL NCHIMBI NA WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR MOHAMED ABOUD WATEMBELEA ENEO ALILOSHAMBULIWA KWA RISASI NA WATU WASIOJULIKANA PAROKO WA KANISA LA KATOLIKI MINARA MIWILI ZANZIBAR, EVARIST MUSHI JANA ASUBUHI NAKUFARIKI DUNIA
Waziri wa Mambo ya Ndani, Emmanuel Nchimbi (wa pili kushoto) akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mohamed Aboud walipotembelea eneo la tukio leo.Picha na Adrew Chale, Zanzibar
No comments:
Post a Comment