BREAKING NEWZZ JENGO LIMEPOROMOKA KATIKATI YA JIJI
Taarifa lizizotufikia hivi punde zinasema kuna Jengo
jipya lililokuwa linajengwa limeporomoka na kuangukia msikiti (kama
inavyoonekana pichani) asubuhi hii mwendo wa saa mbili u nusu, katikati
ya jiji la Dar es Salaam, kwenye barabara ya Mororogo, punde tu baada ya
Kisutu.

No comments:
Post a Comment