Wednesday, March 6, 2013

HARUSI YA IDDY NA AGNES PICHA ZAIDI KWENYE READ MORE


Agnes na Iddy wakiwa tayari kwenye ukumbi wa Vibiana uliopo katikati ya jiji la Los Angeles, California nchini Marekani baada ya harusi yao iliyofanyika sehemu ya pili ya ukumbu huo January 27, 2013 na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki.
Agnes Manumbo wakati huu akiwa bi harusi mtarajiwa akiingia sehemu ya pili ya ukumbi huo wa Vibiana huku akisindikizwa na wapambe wake tayari kufunga pingu za maisha na mdhamini wa pendo lake Iddy Mtango (hayupo pichani)
Bi Harusi mtarajiwa wakati akisindikizwa na mzazi wake kwenye ndoa
Iddy Mtango (kushoto) akimsubiri mzazi wa Agnes amkabidhi mdhamini wa pendo lake tayari kwa kufunga nae pingu za maisha.
Iddy Mtango akiwa na wapambe wake nje ya ukumbi
Wageni waalikwa wakipata picha ya pamoja
Mr & Mrs Mtango wakiingia ukumbini
Bibi na bwana harusi wakipata picha ya pamoja na Elius Mwita (kushoto) na Nancy Assenga 
Bibi na Bwana harusi katika picha ya pamoja na wageni waalikwa.
kwa picha zaidi bofya read more


No comments:

Post a Comment