Monday, July 15, 2013

CULTURAL WARS MOVIE COMING SOON STAY TURNED

Cultural wars ni movie inayojumuhisha watanzania na wamarekani. Movie hiyo imeandikwa na kudirectiwa na mtanzania anaeitwa Deogratius Joseph Mhella anaisha New York City. 
Hapa ni washiriki wakipata ukodak na director na washiriki wa movie hiyo hiliyo jikoni kuanzia sasa muda wowote itakuwa hewani.
Kati ya watanzania watakaoonekana katika chupa hicho kinachoandaliwa na wataalam wa hollyhood. 
Katika movie hiyo huyo ndiyo staring mwanaume wa kitanzania mwenye kabila la kisukuma anae oa mwanamke wa Kimarekani.
Director D.J Mhulla akitoa maelekezo, kwa picha zaidi bofya read more
Mjadala wa nini  cha kufanya katika movie


1 comment:

  1. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete