Sunday, July 21, 2013

MH. BALOZI RAMADHAN MWINYI AFUTARISHA NYUMBANI KWAKE PATA TASWIRA ZA PICHA

MH. Balozi Ramadhani Mwinyi aliandaa iftar hii kwa ndugu na jamaa waishio New York kwa walio waislamu na wasio wa Islamu hili kujumuhika na kufutari kwa pamoja nyumbani hapo. Kabla ya kuanza kufutari kulitanguliwa na swala, swala iliongozwa na Mwenyekiti wa jumuhia ya watanzania New York Ustadh Hajji Hamis.
Watu wakiendelea na kujipatia manjumanti ya mfungo wa ramadhan
Mh. Bolozi wa Tanzania nchini Geneva Modest Mero nae aliudhuria katika chakula hicho cha mfungo wa ramadhan, Kwapicha zaidi bofya read more.






No comments:

Post a Comment