Wednesday, July 24, 2013

NAMPENDA MTOTO WA MJOMBA WA KIUME-NASHINDWA KUVUMILIA

Jamani mie nimeshindwa ngoja niseme tu leo ...Mie ni msichana wa miaka 22 niko chuo UDSM mwaka wa pili , Wazazi wangu wanaishi Mwanza...Hapa dar huwa nafikia kwa mjomba wangu hasa week end huwa natoka hostel nakuja kwa mjomba..Mjomba wangu ana mtoto wa kiume wa miaka 28 nimetokea kumpenda jinsi alivyo mpole na Mstaarabu sana , huwa kila mara anakuja kunitembelea Hostel na akija nakuwa happy sana, Huwa nawadanganya Marafiki zangu kuwa ni Boyfriend wangu..Nampenda sana mpaka siku hizi nimeanza kumtega ili nilale nae ila naona kama bado hajashtukia, Juzi aliingia chumbani kwangu nikajifanya taulo limedondoka ila akatoka haraka na kufunga mlango...Mie nilidhani nae atapagawa na umbo langu ila laaa ...Nifanyaje ? Je kutembea na mtoto wa Mjomba ni Vibaya?

No comments:

Post a Comment