
Basi la Burudani baada ya ajali leo Wilaya ya Handeni, Tanga.

Hospitali ya wilaya ya Korogwe.

Majeruhi wakipatiwa matibabu.

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo ( kushoto) akiangalia mmoja wa majeruhi akipatiwa matibabu.

Manesi wakiendelea na matibabu kwa majeruhi.

Mmoja wa majeruhi akiwa amelazwa kwenye benchi.

Wananchi wakiwa eneo la Hospitali.
Basi la Burudani leo limepata ajali kijiji cha Taula Wilaya ya Handeni, watu 12 hadi sasa wamefariki na majeruhi zaidi ya 55. Watu 4 wamepelekwa MOI na KCMC. Tuwaombee majeruhi.
PICHA ZOTE NA MKUU WA WILAYA YA KOLOGWE, MRISHO GAMBO
No comments:
Post a Comment