Friday, August 14, 2009




Jiji la Tanga bado lina majengo mengi ya zamani ambayo yanaitaji ukarabati wa hali ya juu au pengine kuangushwa ili kujengwa mengine yaliyo bora zaidi.


Thursday, August 13, 2009

Tuesday, August 11, 2009

ClubSerengeti and DJ MaoBring You

"THE" Post BBQ Bash

This Saturday August 15th

@

166 Gramatan Avenue, Mt Vernon, NY

10pm 'til 5am (that's right!)

Free Admission!!!!

Dance to Soukous, Coupe Decale, Ndombolo & Bongo Flava
Groove to the smoothest Zouk and R&B hits
Bounce to the latest hot Hiphop and House beats
Grind to some Reggae classics
Get close to someone with your Merengue & Salsa moves
and much more ....


Try some of the drink specials or challenge our Chemist to make a concoction of your liking

Go to
www.clubserengeti.com for more info and updates



Monday, August 10, 2009

Picha zaidi za harusi ya Margaret na William


















Ningependa kuuliza swali! Hivi hizi nazi tunazoziona huku Marekani na sehemu nyingine za Ulaya inabidi vifuliwe kama tunavyofanya kule Bongo au kuna mashine ya kufanya hivyo?

Jamaa wakisubiri wavuvi warudi na kitoweo kwenye pwani ya Tanga. Na hii ndio raha ya kula samaki akiwa katoka moja kwa moja baharini bila kulala kwenye mabarafu.

Sunday, August 9, 2009

JANA TAREHE 08/08/2009 NEW YORK/NEW JERSEY TULISHUHUDIA HARUSI YA MWAKA KATI YA BI. MARGARET RUGAKINGIRA NA BWANA WILLIAM BINAMUNGU

Jamaa walilisakata rumba na kula mapozi ya kila aina.


Papa Bandawe Mzee wa pamba na waifu wake tulikuwa nao bega kwa bega.


Peter na Kwame


Bwana harusi akilisakata na shemeji yake


Kila mtu aliifurahia harusi...


HONGERA !!! HONGERA!!! HONGERA!!!

MARGARET RUGAKINGIRA
NA

WILLIAM BINAMUNGU


Madada walifurahia sana harusi ya mdogo wao.


Hata mimi nilikuwepo kuwakilisha.



Palikuwa hapatoshi...



Bibi na Bwana wakiingia kwa madoido ya hali ya juu!


Kwa kweli walipendeza sana sana na harusi ilikuwa ya kukata na shoka.

Saturday, August 8, 2009

Binamu wawili (Wapalestina na Wayahudi), pamoja na kuchukiana hawana jinsi nyingine ila kuishi pamoja. Hapa inaonekana kijana wa Kipalestina akikaripiana na kijana wa Kiyahudi. Ukichunguza sana utaona kuwa tatizo la mgogoro wa Israeli na Palestina liko mikononi mwa wengine na si kati ya hawa wawili. Je! ndio kusema hao wakubwa hawataki amani ya kweli?

ARISE BEAUTY
Tunapenda kukujulisha kua tuna punguzo la 5% hadi 50% kwa baadhi ya vitu dukani. Orodha ni ndefu sitaweza kuwapeni kwenye ujumbe huu (na tovuti www.arise-tz.com haina orodha yote) tunaomba tembelea kwenye maduka yetu upate chaguo lako.

Tembelea tovuti yetu www.arise-tz.com
Tuna bidhaa za wanaume na wanawake
Perfume za kike na kiume unajaribu /unajipulizia dukani ujue kama unapenda harufu kabla ya kununua
Deodorants za kike na kiume
Foundation na vipodozi vya kila aina
.

Kama una OILY skin au dry skin
kuna mtaalamu wa make upping na facial kwa ushauri.

Tuna products za Mary Kay, Victoria's Secret, Avon, MAC, Bath + Body &Works, LA Girl nk

Tutembelee sasa (tuna location 2) ili umweleze na mwenzako kuhusu punguzo hili.



Wasiliana na

Rose B. Gaspar
Meneja Mkuu
0784 521171
0784 456046, 0753 335011



Tuna Location 2 hapa Dar
LOCATION #1: Shekilango Rd; SINZA MAPAMBANO "MADUKA YA BLUE", pembeni mwa LILY'S BAR na inatazamana na ukumbi mdogo wa UTOJI HALL

LOCATION #2: MIKOCHENI KARIBU NA KWA MWALIMU- JUED BUSINESS
Direction: Kutokea Rose Garden, ukifika TALK of the TOWN jengo linalofuata linaloangaliana na Saleeka Apartments. Pembeni ya ARISE BEAUTY SUPPLY kuna ATM ya CRDB. Ukienda mbele kidogo unafika kwa Mwalimu.


Friday, August 7, 2009












Raisi wa Marekani wa sasa na wa zamani ambao bado wako hai.



Thursday, August 6, 2009

Msikiti Mkuu wa Mtume Muhamad pale Medina nchini Saudi Arabia jinsi unavyoonekana saa za usiku.









U.S. Secretary of State Hillary Rodham Clinton criticized Kenya on Wednesday for rampant graft and corruption as she made the case that business and trade across Africa cannot grow without good governance and solid democracy.
Speaking to a conference in President Barack Obama's ancestral homeland, Clinton said, "True economic progress in Africa will depend on responsible governments that reject corruption, enforce the rule of law and deliver results for their people."
"This is not just about good governance — it's also about good business," she told African leaders. Her audience included Kenya's president and prime minister, who were rivals in a bitterly contested 2007 presidential election that led to violence in which more than 1,000 people were killed.
Clinton then sharply criticized Kenya's leadership for failing to implement reforms that were part of a power-sharing deal designed to end the postelection crisis, including not yet prosecuting anyone for the violence, as well as not doing enough to tackle corruption.
"Unfortunately, resolving that crisis has not yet translated into the kind of political progress that the Kenyan people deserve," she told a news conference after meeting President Mwai Kibaki and former opposition leader Raila Odinga, who is now prime minister.
"Instead, the absence of strong and effective democratic institutions has permitted ongoing corruption, impunity, politically motivated violence and a lack of respect for a rule of law," Clinton said. "These conditions helped fuel the postelection violence and they are continuing to hold Kenya back."
She was especially critical of a government decision not to appoint a special tribunal to look into the violence that erupted in early 2008. Instead, suspects have been tried in the country's notoriously backlogged local courts, which many believe are not credible.
Standing beside Clinton, Kenyan Foreign Minister Moses Wetangula maintained that "reforms are on course, that the war against impunity in the country is on, that the war against corruption is on."
Kenyan officials have bristled at U.S. criticism of their reform efforts before, most notably when then-Sen. Barack Obama visited his late father's native land in 2006 and warned that failure to address graft and accountability issues would damage the country's credibility.
Just hours before Clinton arrived in Kenya on Tuesday, Odinga said Africa does not need to be lectured about democracy because many people on the continent had fought against political oppression.
At the conference Wednesday, he adopted a more conciliatory tone, saying African countries could learn from Clinton's example when she conceded defeat to Obama during the U.S. presidential primaries.
"That is a lesson Africa needs to learn seriously," he said. "In Africa, in many countries, elections are never won, they are only rigged. The losers never accept that they lost. If we do this, we will be able to develop democracy truly in the African continent."
Clinton later made the point that political rivals need not become enemies.
"I can personally attest that political rivals can be come productive partners in the service of the country and the people they love," she told reporters at the news conference with Wetangula.
Clinton is in Kenya on the first leg of a seven-nation tour of Africa. The delegates in Kenya are reviewing the impact of the Africa Growth and Opportunity Act, or AGOA, a U.S. trade law aimed at increasing U.S. imports of African products.
In AGOA's early years, some countries were able to increase substantially textile exports to the United States. With international textile markets quota-free since early 2005, however, African textile manufacturers have found it increasingly difficult to compete against products from India and China, which have lower production costs than African countries.
Also in Nairobi, Clinton will meet the beleaguered president of lawless Somalia's interim government, which is embroiled in a struggle with Islamist extremists with suspected links to al-Qaida.
From Kenya, Clinton will travel to South Africa, Angola, the Democratic Republic of Congo, Nigeria, Liberia and Cape Verde.

Wednesday, August 5, 2009

Enzi hizo soka lilikuwa linachezwa hata kwa vifua wazi. Hakuna maringo hapa... ni kandanda mtindo mmoja!













In these photos taken on Friday, July 31, 2009, Joaquim Crima, 37, seen talking to villagers in the village of Srednyaya Akhtuba, outside Volgograd, 900 kilometers (550 miles) southeast of Moscow, Russia. The African-born farmer is making an improbable run for office in Russia, inspired by President Barack Obama and undaunted by racial attitudes that have changed little in decades.


Monday, August 3, 2009

Moto! umewafanya FFU Kuharisha safari ya kisiwani "La Palma",(Las Palmas)Spain!
Bendi maarufu ya mziki wa dansi barani ulaya "The Ngoma Africa Band" juzi siku ijumaa 31.07.2009 walijikuta wakiishia uwanja wa ndege wa Bremen,huko Ujerumani.baada ya idara ya usalama wa hanga ya ujerumani,kutoruhusu ndege yeyote kuelekea katikia kisiwa cha "La Palma" ambako bendi hiyo ilitegemewa kutumbuiza katika onyesho maalumu,Kisiwa cha "Kisiwa cha "La Palma" kilichoko huko Ispania kimeshika moto,na uduma zote za safiri wa ndege zimesimamishwa na zimesababisha pia kutosafiri kwa bendi hiyo maarafu "The Ngoma Africa" aka FFU,ilikuwa wasafiri kwa ndege maalumu ndogo aina ya Cesina, lakini FFU wamejikuta wapo uwanjani HAKUNA SAFARI

Saturday, August 1, 2009

Come party with ClubSerengeti and DJ Mao

Mid Summer Bash

Today Saturday August 1st @
The Alamo

166 Gramatan Avenue, Mt Vernon, NY

Free Admission!!!!
"TANZANIA BILA UKIMWI INAWEZEKANA"


Raisi wa zamani wa Philippines Bibi Corazon Aquino afariki Dunia akiwa na umri wa miaka 76. Itakumbukwa kuwa yeye ndiye aliyeleta democrasia nchini humo baada ya kumuondoa madarakani dikiteta Ferdinand Marcos.

"DIPLOMASIA YA BIA"












President Barack Obama, right, and Vice President Joe Biden, left, have a beer with Harvard scholar Henry Louis Gates Jr., second from left, and Cambridge, Mass., police Sgt. James Crowley in the Rose Garden of the White House in Washington Thursday, July 30, 2009.
Kumbe hiki kipoteza wakati ni muhimu sana kwenye kuleta usuluhishi!!!!