Mbali na umaarufu wa Soka, lakini Brazil ujulikana sana kwa sherehe zake za Carnival ambazo kwa mwaka huu zimeanza kuanzia tarehe 12 Februari mpaka tarehe 16 Februari. Pichani ni jijini Sao Paulo wakiwa kwenye pilikapilika hizo za Carnival.
Saturday, February 13, 2010
Friday, February 12, 2010
Thursday, February 4, 2010
Subscribe to:
Posts (Atom)



























.jpg)






















