Thursday, October 10, 2013

HII NI ZAIDI YA UFUSKA JAMANI. HAKI YA MUNGU UKIMWI USIPOMTEKEZEA MANAIKI AKACHINJE MBUZI WA KIJANI, WASTARA APEWA TAHADHARI KUBWA. XDEEJAYZ YAIBUA UCHAFU WA KUTISHA WA MSANII HUYU. AGEUZA GARI YAKE GUEST YA KUFANYIA NGONO JESHI LA POLISI LAOMBWA KUMKAMATA HARAKA!







Mtandao wetu umefanikiwa kunasa picha mbalimbali za aibu za msanii 
chipukizi na mwanamuziki Manaiki Sanga akifanya ufuska wa kutisha na 
wanawake tofauti tofauti hali inayoonesha ameazimia kujitoa muhanga 
juu ya gonjwa hatari la ukimwi linalotishia dunia nzima.
Habari za uhakika toka kwa chanzo chetu kilichotushushia shehena za 
picha hizo kilisema msanii huyo ambae pia ni anaigiza pamoja na kundi 
la Ze Komedi la East Afrika Tv tangu apate jina amekuwa akijihusisha 
na vitendo viovu vya unyanyasaji wa kijinsia kwa kuwarubuni mabinti 
kupiga nao picha za aibu kwa lengo la kutafuta jina na amekuwa 
akitumia kiasi kikubwa cha pesa kufanikisha suala hilo.
Aidha katika hali nyingine msanii huyo aliyetamba sana kwenye filamu 
ya Love Postion, Tikisa na nyinginezo amekuwa akitumia gari yake 
kufanyia ufusika" Kwa kweli hali ni mbaya ile gari yake ameigeuza kama 
gesti ambapo ukiiona gari hiyo imepaki sehemu kwa muda uje kuna 
shughuri inafanyika ndani hivyo tunaliomba jeshi la polisi Kanda ya 
Dar es Salaam kulifanyia kazi suala hilo kisha kumtia mikononi huenda 
wasichana wa watu wakasalimika jamani" Alisema muhudumu wa baa ya Coco 
Beach ambako msanii huyo huwa anapenda kukaa. 
Gari ya msanii huyo imekuwa maarufu sana huku nyuma ya gari hiyo 
kukiwa na maneno haya " Nina Fanya Mambo" Money is Paper na inadaiwa 
msanii huyo ni mtoto wa kigogo mmoja maarufu ambae anamiki hotel 
kadhaa hapa mjini ikiwemo Itumbi iliyopo Magomeni.
Picha hizi zinawaonesha mamisi mbalimbali Kama Irine Kanka ambae 
alikuwa Miss Temeke namba 2 mwaka juzi. Miss Utalii Fathiya Alfan" 
Mrembo wa Facebook" Dida ambae ni mwanamuziki huko Zanziba. na 
wengineo. Hata hivyo watu wamemuonya msanii nyota wa kike nchini 
Wastara kutompa nafasi msanii huyo kwani akifanya hivyo atakuja kujuta 
kwani imeonekana siku za hivi karibuni amekuwa na ukaribu sana kiasi 
cha kwenda nyumbani kupata chakula.
Xdeejayz ilimtafuta Manaiki kupitia simu yake ya kiganjani ili kufanya nae mahojiano. Lakini kwa bahati mbaya hakuweza kupatikana hadi habari hii inaruka hewani. Xdeejayz kama chombo cha habari tuna laani vikali tabia za namna hii za baadhi ya wasanii wasiokuwawaadilifu kwani matukio kama haya yanarudisha nyuma juhuzi za seikali na taasisi za kupambana na gonjwa hatari la UKIMWI.

RUSHWA YA NGONO: DIRECTOR BONGO MOVIE AFUMANIWA NA MSANII WAKE, ALIMWAMBIA AKITOA URODA ATAMUUZISHA SURA KWENYE KAVA LA FILAMU!

Kijana mwenye mke aliyevaa tisheti nyekundu mara baada ya kuvamia chumbani na kumkuta mkewe akiliwa uroda na muongozaji filamu,msanii maarufu wa bongo movie aliyefahamika kwa jina la NICAS.
Mume akionesha chupi ya mkewe
Msanii chipukizi wa filamu ambae ni mke wa mtu aliyefahamika kwa jina la Remina Rufyagira" Mwimbe" akificha sura yake kukwepa kamera za mapapalazi.
NAUA: Kijana mwenye mke kushoto akimkaba koo director huyo kwenye purukushani ya fumanizi hilo.
Hapa ofisa wa polisi ambae ilidaiwa toka kitio cha polisi Hananasifu kilichopo Kinondoni akimsimamia msanii huyo kuvaa nguo safari ya kuelekea kituoni.
Mwimbe akiwa haamini kilichotokea huku machozi yakimtoka kwa wingi na kujuta.
Kulia kijana ambae ilidaiwa ni shemeji na Mwimbe akimuuliza maswali shemejie huyo.
NICAS na Mke huyo wa mtu wakielekea kituno huku nyuma wananchi walioshuhudia tukio hilo.
Mwenye mke aliyefahamika kwa jina la Abdula Sanga akiongea na simu kuwajuza familia ya mchumbaake kuhusu tukio hilo.
Mfuko wa kondom uliokutwa umetumiak.

LULU NAE AANZA KUJICHORA MATATOO-ONA ALIVYO WAPA UJUMBE MAADUI ZAKE KUPITIA TATOO

Tarehe 9/10 kabla hajalala mwigizaji Lulu aliwaonyesha mashabiki zake picha ya tatoo yake mpya ambayo imechorwa juu ya kifua karibu na bega ikiwa ni picha aliyoipost na ikaambatana na maneno yafuatayo.
“Kumekuwa na kawaida ya watu kuongea na kuhukumu wenzao bila ya kujua wanachokiongelea pengine!! kwa upeo wangu mdogo nafahamu sisi wote ni binadamu na tunamtegemea mtu mmoja MWENYEZI MUNGU…lakini cha kushangaza kuwa watu wako busy kuhukumu wenzao kuliko hata huyo mwenye cheo chake, hivi Mungu angetaka kufanya kama wanadamu tunavyofanya tungeangaliana kweli? nadhani umefika wakati wa kumuachia mwenye majukumu yake kufanya kazi…tuache kujipa u busy usio wa lazma….!!!ONLY GOD CAN JUDGE ME….Gud nyt fam”

NAWEZA KUSEMA KUWA MUNGU NI MWANAUME KWANI KWA KUUMBA VITU KAMA HIVI ALIKUWA NA MAANA YAKE!!


Wednesday, October 9, 2013

AKINA DADA, SIO KILA EX WAKO ANAYEOMBA MRUDIANE ANAMAANISHA

Sio Kila EX wako anayeomba Mrudiane anamaanisha! Wengine huomba kurudi ili wakutesti tu jinsi ulivyo Mbulula,jinsi usivyo na msimamo na jinsi ulivyo CHEAP na huna Misimamo wala Future.
Jitu mmeachana miezi 6,leo linakutesti lirudishe majeshi,na wewe ulivyo kiazi,upo-upo tu,ina maana miezi yote hii ulikuwa umeganda unasubiria rehema zake ama??
Kurudia Matapishi ya EX ukitegemea Amebadilika ni Sawa na Kupika Sufuria la Makande kwa Mshumaa,Utaambulia Masizi tu..
Kipi kipya kakiona kwako hadi arudi??Nini Kilimshinda huko nyuma ambacho leo anakiweza anataka kurudi??Akafie Mbele huko.
KUWA NA MSIMAMO,Ukisema Its Over umaanishe,sio unakuwa na hisia zinapepea tu kama Bendera ya Katibu Kata wa Kishumundu...Mtu kama Hajielewi achana nae,siku akijirudisha mwambie kwanza akapimwe Minyoo ya Kinyarwanda.
Umekazana kuwaambia marafiki zako 'Siku hizi hakuna Mapenzi ya dhati watu wote Majanga tu',nani amekwambia hayapo??Yapo sana ila wewe unatumia mbinu tofauti..Huwezi kusoma Degree ya Law halafu u-apply kazi ya Chief Accountant wa Bodi ya Tumbaku...Kila siku utasingizia Balance Sheet haina Jurisprudence..Lawyers mmenielewa!
Acha kudate watu wasiojielewa,Usidate kwa sababu uko lonely,Usiwe desperate kuingia Mahusiano kwa sababu shosti zako wanakusimulia walivyopelekwa Ruwenzori Waterfalls..Ingia kwenye Mahusiano pale Moyo wako ukiwa tayari na mtu uliyemfia kihisia na amekuwa approved na Veins,Auricles,na Aorta za Moyo wako kwamba He/She is really the One..
Unadate na mtu ambaye mustakabali wake mwenyewe haujui,ukimuuliza anataka kuwa wapi ndani ya miaka 5 ijayo anakwambia Mungu anajua dont worry,halafu BBM na Instagram unajiita Baby Ake Mie Iam in Love..Utaishia kufua boxer hadi kucha zinukie gololi!
Mbwa kamwe hashughuliki na kesi za Paka kufungiwa kabatini.Date the Right Person,With Right reasons,in a Right Time uone kama Mapenzi hayapo..

UHURU KENYATTA KUFANYA SHEREHE KUBWA YA KUWAPONGEZA KDF KWA USHINDI WA WESTGATE

Amiri jeshi mkuu wa Kenya, Uhuru Kenyata ameandaa party kubwa ya kupongeza majeshi yake kwa kazi nzuri na ushindi wa walioupata dhidi ya Alshabab katika mkasa wa westgate uliotokea hivi karibuni.

Rais Kenyata amesema ameandaa paty hiyo kuonyesha shukrani zake za dhati kwa KDF ka jinsi walivyojitolea maisha yao kunusuru maisha ya raia wa Kenya na hatimaye kuwashinda watekaji.

STAREHE ZINGINE KUFURU..SOMA ALICHOFANYA HUYU BINTI MBELE ZA WATU KIBAO

Waombolezaji walikua wamejaa katika msiba wa mpiga misele (drifter or spinner) maarufu Bongani Makhubo (40) jijini Pretoria, Afrika Kusini.

Baada ya mazishi, wapiga misele wenzie wakaanza kupiga misele na magari yao kama kumtolea heshima marehemu, huku wahudhuriaji wakishangilia.

Ghafla binti huyu akavua chupi yake na kuipunga hewani huku akidansi katikati ya magari yanayozunguka kupiga misele


Baadhi ya waombolezaji walikerwa na kitendo hicho lakini cha ajabu wengi walimuacha aendelee na walikua wakishangilia

RAY C "UZURI WANGU UPO NDANI YA MAPAJA YANGU NA SIHANGAIKI NA DAWA ZA KICHINA"


Huyu ni Msanii mkongwe maarufu kwa jina la Ray C ambaye leo hii ameamua kuyanadi mapaja yake akidai kwamba hiyo ndo sehemu muhimu ya mwili wake...Kila mwanamke ana mvuto wake, wapo wanaojivunia nyuso zao zenye macho yaliyoumbwa yakaumbika, nyuso zisizo na chunusi wala aina yoyote ya kovu...Wapo pia wanaojivunia makalio yao na sote tumekuwa tukishuhudia jitihada mbali mbali za akinadada za kujitengenezea makalio ya bandia ( ya kichina ) ili kujiongezea mvuto kwa wanaume.

Hali ni tofauti kidogo kwa msanii Ray C.Yeye anaamini kwamba mapaja ndo kila kitu na kwamba ni hicho kigezo muhimu kinachoangaliwa na wanaume wengi wa siku hizi...


"Nani asiyejua kwamba kuna makalio ya kichina? Umewahi sikia wapi mapaja ya kichina?..Haya tunayo wachache ambao tumejaliwa na muumba wetu".Hii ni kauli ya Ray C alipokuwa akipiga stori na mpekuzi wetu.

Akongelea kuhusu afya yake kwa ujumla, Ray C amewashukuru kwa mara nyingine watanzania wote waliokuwa naye wakati wa akiwa mgonjwa."Sitachoka kuwashukuru watanzania wenzangu ambao walikuwa pamoja nami pindi nikiwa mgonjwa. Nguvu zangu kwa sasa nimezielekeza katika kuiimarisha afya yangu na ndo maana unaniona niko hivi kwa sasa.


"Haikuwa kazi nyepesi kuirejesha afya yangu ndani ya muda mfupi.Nilidhani mapaja yangu hayatarejea tena katika hali yake.Mungu ni mwaminifu, kila kitu kiko vizuri kama nilivyokuwa nataka"..Ray C

UNANIUMA SANA"BAADA YA KWENDA MAFUNZO YA JKT MPENZI WANGU ARUDI BILA BIKIRA"

hello admin, naomba nisaidie hili
mimi ni kijana wa chuo mwaka wa pili, nilitokea kumpenda binti mmoja aliyemaliza kidato cha sita 2012 ambaye alikuwa ni jirani yangu na kwel tulipendana sana ,na tulipanga mimi na yeye tuje kuoana na kutokana na mazingira aliyolelewa baba yake akiwa mchungaji aliniambia kuwa yeye ni bikira na ataitunza hadi ndoa. kwakwel niliheshimu hayo mawazo yake kwa kuwa nlkw nampenda sana had wazazi wetu walikuwa wanalitambua hilo

ila alipomaliza kidato cha sita alitakiwa aende kwenye mafunzo ya jkt kulingana na agizo la serikali hivyo alienda huko na nlikuwa nawasiliana nae mara kwa mara ingawa sio sana.


kitu cha ajabu amebadilika sana kitabia tangu aliporudi ,nilipomuhoji vizur alikuja kuniambia kwa ss yeye sio bikira tena..nilipomuuliza kwa nn umechukua uamuzi huo? akaniambia alikuwa amechanganyikiwa kutokana na mazoez ya jkt had akafanya mapenz bila kujitambua ila akaomba msamaha na tuishi km zamani...kwakwel nimechanganyikiwa na sijui hata nimjibu nini? naomba ushaur kwako



Tuesday, October 8, 2013

RAMBIRAMBI YA ASKOFU KULOLA… AHADI YA MZEE WA UPAKO UTATA

Stori: Makongoro Oging’
AHADI ya Mchungaji Anthony Lusekelo au Mzee wa Upako katika msiba wa aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Evangelical Assemblies of God Tanzania (EAGT) Dk. Moses Kulola ya rambirambi ya shilingi milioni 15 imezua utata baada ya kiongozi huyo kutoitimiza, Uwazi limeambiwa.
Ahadi hiyo alitolewa na Mzee wa Upako siku ya kuuaga mwili wa kiongozi huyo Agosti 31, mwaka huu katika kiwanja cha Kanisa la EAGT, Temeke ambapo viongozi kadhaa wa makanisa akiwemo Mchungaji Lusekelo walitoa ahadi zao za rambirambi.
Hata hivyo, utata unakuja kwani Mzee wa Upako mpaka Jumapili iliyopita fedha zake zilikuwa hazijafika kwa kamati husika inayoratibu rambirambi hizo.
Uchunguzi wa kina uliofanywa na gazeti hili umebaini kwamba wachungaji na maaskofu walioahidi wameshatimiza ahadi zao ndani ya siku nne baada ya kuuaga mwili lakini kwa upande wa Mzee wa Upako bado hajatimiza ahadi yake.
Mzee wa Upako ndiye mchungaji pekee aliyewashinda wenzake kwa kutangaza dau kubwa la rambirambi kiasi cha shilingi 15,000,000.
Askofu Kulola alifariki dunia Agosti 29, mwaka huu ambapo sasa ni zaidi ya mwezi mmoja na siku kadhaa.
Mweka Hazina wa Kanisa la EAGT kanda ya Dar es Salaam, Mchungaji Praygod Zawadi Mgonja ndiye aliteuliwa na uongozi wa kanisa hilo kuratibu, kupokea rambirambi na ndiye alikuwa akisimamia matumizi.
Gazeti hili liliwasiliana kwa njia ya simu ya kiganjani na Mchungaji Mgonja na kumuuliza kama ameshapokea mchango huo toka kwa mtumishi huyo wa Mungu ambapo alisema kwamba hajapokea na kudai kwamba huenda ameshapeleka mwenyewe kwa familia ya marehemu.
“Pamoja na kwamba ahadi hiyo kutonifikia huenda aliamua kupeleka kwa wana familia, jaribu kuwasiliana nao,”alisema Mchungaji Mgonja.
Mwandishi alimtafuta mtoto wa marehemu aitwaye Willy Kulola na alipoulizwa kama amepokea mchango wa rambirambi kutoka kwa Mzee wa Upako alisema familia haijapokea fedha hizo.
“Hatujapokea labda mumuulize Mchungaji Mgonja kwani ndiye aliteuliwa kuratibu mambo hayo,” alisema.
Mzee wa Upako alipoulizwa alikiri kuwa fedha hizo hajaziwasilisha kwa wahusika kwa madai kwamba hapendi kumpa Mchungaji Mgonja wala mtoto wa marehemu bali anataka kumkabidhi mke wa Askofu Kulola.
“Napenda taarifa hizi zimfikie 
mke wa Mzee Kulola ili anifuate na nitampa rambirambi hiyo hata kama ni kesho akija nitamuandikia cheki,” alisema.
Alipoulizwa endapo anaweza kutoa fedha hizo kwa mtoto wa marehemu, alisema hawezi kumpa labda kama atakuwa amemsindikiza mama yake.
Gazeti hili lilimtafuta tena Willy na kumweleza kuhusu majibu ya Mzee wa Upako, lakini kijana huyo wa marehemu alisema hataweza kumpeleka mama yake kwa mchungaji huyo kwa sababu bado anapokea wageni wanaokuja kuhani msiba.
“Itakuwa jambo la ajabu kwa mfiwa kuanza kuzunguka huku na kule kufuatilia rambirambi, hiyo siyo kawaida kwa mjane kukusanya rambirambi kwani kanisa liliweka utaratibu,” alisema Willy.
Katika kuaga mwili wa marehemu, Mchungaji wa kanisa la Assemblies of God Mikocheni B, Dk.Getrude Rwakatare alitangaza rambirambi zake kuwa angetoa shilingi milioni moja, akifuatiwa na Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Kawe, Mchungaji Josephat Gwajima aliyeahidi kutoa shilingi milioni 10. Wote wametimiza ahadi zao.
Baadaye alikabidhiwa kipasa sauti Mzee wa Upako ambaye alitangaza kwamba hawezi kuzidiwa na Mchungaji Gwajima, hivyo aliahidi kutoa shilingi milioni 15.

Hata hivyo, baadhi ya wachungaji na maaskofu waliamua kufanya siri ahadi zao.

MAAJABU YA MTOTO ALIYEFUFUKA MENGI YAJITOKEZA BAADA YA KABURI KUFUFULIWA

Stori:Victor Bariety, Geita 
TUKIO la mtoto Shaaban Maulid, 16, aliyefariki dunia miaka mwili iliyopita kabla ya mwaka huu kuonekana (kufufuka), limeendelea kutikisa baada ya maajabu mengine kujiri.
Shaaban, alifariki dunia na kuzikwa Januari, 2011 lakini Septemba 30, mwaka huu, alionekana akiwa hai, ingawa alikuwa akizungumza kwa taabu.
Kwa vile kufufuka kwa Shaaban ni jambo lililoacha wazi midomo ya wengi hususan waliohudhuria mazishi yake miaka miwili iliyopita, ilibidi kaburi alilozikwa lifukuliwe ili ndani yake ijulikane kuna nini.
Tamko la kufukua kaburi la Shaaban ni azimio la kifamilia, hasa baada ya ndugu na majirani kupendekeza, kwani kufufuka kwake, kulivuruga vichwa vingi, wapo walioamini inawezekana, ila wengine wakipinga kwamba mtoto huyo aliyeibuka sasa ni mzimu tu.

MAUZAUZA KABURINI
Shaaban alizikwa kwenye eneo la nyumba ya baba yake, Maulid Shaaban, kwa hiyo haikuwa shida kulipata kaburi, kwani familia nzima na hata majirani wanalijua kwa sababu walishiriki kumzika.
Jumatano iliyopita, shughuli ya kufukua kaburi la Shaaban ilifanyika. Kazi hiyo ilianza saa 2 asubuhi chini ya ulinzi mkali wa jeshi la polisi, kabla ya kukamilika saa 4.30 asubuhi.
Habari kutoka eneo la tukio zinasema kuwa kipindi chote ambacho ufukuaji ulifanyika, mauzauza mengi yalitokea, hivyo kusababisha taharuki na hata watu wengine kutimua mbio.
Wakati shughuli ya ufukuaji ikiwa mbichi kabisa, alitokea mbwa kutoka kusikojulikana ambaye alifika na kuanza kujigalagaza juu ya kaburi hilo, huku akibweka. 
Hali hiyo, ilitafsiriwa na wengi kwamba mbwa huyo alikuwa hataki kaburi hilo lifukuliwe, ingawa baadaye aliondoka taratibu akibweka na kutokomea kusikojulikana.
Saa 2.30 asubuhi wakati ufukuaji ukiendelea, mwanamke jirani anayeitwa Sharifa Hitler, alianguka na kupoteza fahamu, kabla ya kuzinduka dakika 20 baadaye, kufuatia jitihada za kumuwekea kipande cha sabuni mkononi.
Baada ya kuzinduka, Sharifa alisema kuwa alisikia kichwa kinakuwa kizito, akapatwa na kizunguzungu kisha akapoteza fahamu.
Saa 3.05 asubuhi, tukio lingine litokea, kwani kipindi kaburi linafukuliwa, ukuta wa nyumba ya baba yake Shaaban, nao ulianguka na kutoa sauti yenye mshindo mkubwa.
Sauti hiyo iliwatisha wengi, kwa hiyo watu walikimbia kwa kutawanyika, kila mmoja akishika uelekeo wake.
Kuanguka kwa ukuta huo, kulifanya kazi ya kufukua kaburi isitishwe kwa muda ili kutawanya kifusi cha ukuta wa nyumba, kuhakiki kama kuna mtu aliangukiwa na kufunikwa.
Hata hivyo, baadaye iliamriwa mambo yote mawili yafanyike kwa wakati mmoja, baadhi wahusike na utawanyaji wa kifusi na wengine waendelee kufukua kaburi ili kwenda na muda.

MAAJABU NDANI YA KABURI
Kule kwenye kifusi, ilionekana hakukuwa na tatizo lolote lakini kwenye kaburi baada ya ufukuaji kukamilika, mambo yaliyoonekana ni haya;
Mosi; kwa mila za Kiislam, ndani ya kaburi, kuna sehemu ndogo ambayo huchimbwa kulingana na kimo cha marehemu, kisha kulazwa ndani yake.
Sehemu hiyo huitwa mwanandani, kwa hiyo baada ya kufukua, badala ya kukuta mwili, wafukuaji walikutana na chungu kikubwa.
Pili; kile chungu kilikuwa kimefunikwa na mifuko aina ya viroba. Tafsiri ya wengi walioshuhudia tukio hilo ni kwamba sanda aliyozikwa nayo Shaaban miaka miwili iliyopita, ndiyo iliyogeuka kiroba.
Tatu; nndani ya chungu kulikuwa na mifupa ya kiumbe cha ajabu, kwani kwa muonekano haifanani na ya binadamu wala mnyama yeyote anayefahamika, kwani ilikuwa ni midogomidogo mno.
Nne; kulikuwa na madawa yenye umbo la kimimika, rangi nyeusi.
Dunia Mrisho ambaye alikuwa shuhuda wa tukio hilo na alikuwepo miaka miwili iliyopita wakati Shaaban akizikwa, alisema kuwa yaliyoonekana ndani ya kaburi hilo, yamewashangaza wengi.
“Huyu mtoto tulimzika kwa heshima zote za Kiislam na mwili wake ulikuwa kwenye sanda, hii mifuko ndani ya kaburi imetoka wapi? Tunashangaa pia kukuta chungu ndani ya kaburi na kina mifupa na yule mbwa aliyetokea na kutokomea ni wa nani? Hapa kuna kitu,” alisema Dunia ambaye ni mmoja wa wakazi wa eneo hilo.

KWANI SHAABAN ALIKUFAJE?
Januari Mosi, 2011, Shaaban akiwa na afya njema kabisa, aliondoka nyumbani kwao asubuhi kwenda kuchunga mbuzi kwenye malisho.
Tangu siku hiyo, Shaaban hakuonekana tena, ingawa jitihada za kumtafuta zilifanyika kwa nguvu sana kwa usimamizi wa jeshi la polisi.
Katika eneo la malisho, mbuzi alioondoka nao Shaaban walionekana wakiwa katika idadi kamili lakini mtoto huyo ndiye hakuonekana.
Siku nne baadaye, Shaaban alikutwa akiwa amefariki dunia na mwili wake ulikutwa ndani ya kisima katika Mtaa wa Mbugani, Geita.
Baada ya kujiridhisha kwamba amefariki dunia na wazazi wake kumtambua kwamba ni mtoto wao, alizikwa katika makaburi ya eneo la nyumbani kwao.

SHAABAN ALIFUFUKAJE?
Gazeti hili lilifanikiwa kuzungumza na mama mzazi wa mtoto huyo, Aziza Ramadhani, 45, ambaye alisimulia jinsi alivyoweza kumuona mtoto wake huyo akiwa hai.
“Ilikuwa Septemba 30, mwaka huu, nilikuwa naelekea sokoni kwenye shughuli zangu za kuuza mbogamboga. Ilikuwa saa 1.30 asubuhi, nikiwa Mtaa wa Nyankumbu, nilikutana na mwanangu Shaaban.
“Nilishtuka na sikuamini haraka. Nilimwita kwa jina lake, mwanangu Shaaban ni wewe? Akaniitikia kwa kutikisa kichwa. Hakuweza kutoa sauti vizuri, alikuwa anazungumza kwa taabu.
“Nilikwenda kumshika mkono kuhakikisha kuwa ni binadamu au mzimu huku nikiwa siamini kabisa kuwa ni yeye. Nilipoona kuwa ni yeye nilimpigia simu mume wangu, akaja tukamchunguza vizuri na kubaini kuwa kweli ni mtoto wetu Shaaban.
“Ni maajabu kabisa, sisi tuliamini amekufa na tukamzika miaka miwili iliyopita. Kweli hii dunia ni ya maajabu,” alisema Aziza ‘Mama Shaaban’.
Aliendelea kusema kuwa mtoto huyo alikuwa na alama ya kinundu kwenye paji la uso na mguuni ambalo ni kovu iliyosababishwa na kuchomwa na mwiba. 
Aliongeza kuwa vilevile Shaaban alikuwa na mwanya uliofanana na wa baba yake ambapo huyu alama zote hizo anazo.
Alisema kuwa walikagua alama hizo kipindi cha kuutambua mwili wake pale alipofariki dunia na kujiridhisha ndipo walipomzika.
“Baba yake alipokuja eneo la tukio, tulimpeleka hospitali kwa sababu hali yake haikuwa nzuri, mpaka sasa bado yupo hospitali akitibiwa,” alisema Aziza.

SHULENI KWAKE NAKO
Mtoto huyo aliyevuta hisia za watu wengi mjini Geita, amethibitishwa na walimu wake katika shule aliyokuwa anasoma kwamba ndiye aliyezikwa.
Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Mwatulole, Geita, Joseph Nungula, alisema kuwa amemwangalia Shaaban na kujiridhisha ni mwanafunzi wake yuleyule ambaye miaka miwili iliyopita zilitolewa taarifa za kifo chake na baadaye kuzikwa.
“Nimemtambua mtoto huyo kwa sura na alama, hasa ya usoni na alikuwa na mahudhurio mazuri shuleni. Pia maendeleo yake kitaaluma yalikuwa mazuri,” alisema mwalimu huyo huku akiungwa mkono na wanafunzi waliokuwa wanasoma na Shaaban.

BABA ANAZUNGUMZA
Maulid Shaaban ‘Baba Shaaban’, alisema kuwa ni kweli kabisa mtoto wao alitoweka na alipatikana akiwa ameshafariki dunia.
Aliongeza, mwili wa Shaaban ulikutwa ndani ya kisima cha maji, hivyo walitoa taarifa polisi kisha waliruhusiwa kuchukua mwili.
“Daktari alithibitisha alimkagua na kujiridhisha kwamba ameshakufa. Tukaamua kumzika kwenye kiwanja cha nyumbani kwangu, Kitongoji cha 14, Kambarage, hapa Geita.
“Shughuli zote za matanga tulifanya, baada ya hapo hatukuwa na wazo la Shaaban kurudi duniani. Leo hii kila kitu tunaona ni maajabu, Shaaban huyuhuyu ambaye tulimzika amerudi duniani,” alisema Maulid.

DAKTARI AELEZA
Shaaban amelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Geita, akifanyiwa uchunguzi zaidi na matibabu zaidi kwa sababu bado hajaweza kuzungumza vizuri.
Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya Geita, Dk. Adamu Sijaona anayemtibu mtoto huyo, alisema kuwa tayari wazazi wake wameshachukuliwa sampuli na kuhifadhiwa kwenye maabara na mifupa iliyokutwa kaburini imechukuliwa kwa uchunguzi wa DNA.
“Hali yake inaendelea vizuri hasa katika kutamka maneno ikilinganishwa na wakati anafikishwa hospitalini kwa mara ya kwanza kwa sababu alikuwa hawezi kutamka neno hata moja,” alisema Dk. Sijaona.

OFISI YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI
Mchunguzi kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Kanda ya Ziwa, Lukas Nduguru, aliliambia gazeti hili kuwa wamechukua vipimo vya wazazi na mtoto pamoja na baadhi ya mabaki ya mifupa iliyokuwa kwenye kaburi hilo kwa ajili ya vipimo vya vinasaba (DNA) ili kubaini mwili wa nani ulizikwa kwenye kaburi hilo.
“Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali ilipata taarifa za huyo mtoto aliyezikwa mwaka 2011 kwamba ameonekana akiwa hai, kwa hiyo majibu ya vinasaba yatatoka ndani ya siku 14 au mwezi mmoja.
“Tuna changamoto za kukatika umeme mara kwa mara, kwa hiyo ndani ya kipindi hicho tutakuwa tumekamilisha,” alisema Dk. Ndunguru.

NENO LA KAMANDA WA POLISI
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Leonard Paulo, mbali na kuthibitisha kufukuliwa kwa kaburi hilo kwa kibali maalumu cha mahakama, alisema mtu hawezi kufa kisha kufufuka kwa hiyo jeshi la polisi haliamini kama mtoto aliyezikwa ni yeye.
“Unajua hatuna imani na hili isipokuwa tunasubiri majibu ya uchunguzi wa watalaamu kutoka ofisi ya mkemia mkuu wa serikali,” alisema Paulo.

NI TUKIO LA PILI GEITA
Tukio kama hilo ni la pili kutokea katika Wilaya ya Geita katika kipindi kisichozidi miezi mitano ambapo Aprili 12, mwaka huu, mwanamke aliyetambulika kwa jina la Flora Onesmo, 45, aliyefariki dunia Februari 28, 2008 katika Hospitali ya Wilaya ya Geita kisha kuzikwa katika Kijiji cha Nakasenya, Kata ya Butundwe, alionekana akiwa hai.
Flora, alikutwa hai Aprili 12, mwaka huu, akiwa ameketi nje ya nyumba ya dada yake aitwaye Monica James, anayeishi Kijiji cha Kasamwa, Geita.

UWAZI LIPO KAZINI

Uwazi bado lina kazi ya kufanya kuhusiana na Shaaban na Flora, yapo maswali mengi hayajajibiwa, kwa hiyo lipo kazini likiibuka litakuwa na mengine mengi ambayo pengine yatakuwa mazito zaidi. MHARIRI

Source:Global publishers

HOW TO CATCH BABIES ON FACEBOOK

Hello cool peoples. Thanks for stopping by let's go straight to the point(s).

1) Your username must be appealing! For example; 2buff, ImHotterThanFire, LadiesMan, IhaveSixPacks, ExtraSwag, etc.

2) Don't be too desperate. Chill out. Don't go around asking for babes' phone numbers and email addies.

3) Concentrate/Focus on the on their profiles, single ladies full ground for facebook.

4) If you're fine enough, put your picture on your profile. If you're not, PLS DON'T BOTHER. If you want extra attention and you're not so fine, go steal a believable picture of a Fine man from the internet and claim it as yours. You don hammer be that! 

5) Post sensibly. Don't be too LefuLefu-ish, or C0rk-ish, or 190-ish. Post like a normal human being.

6) ALWAYS SUPPORT THE LADIES! BE A MALE FEMINIST!
Don't hesitate to argue with your fellow men while you take the ladies' side (even when you know your argument is not making any sense).
Relax buddy- Take the insults hurled at you. You're earning cool points from the ladies! 

7) When you see that ladies have started noticing you; LEAVE YOUR EMAIL ADDY ON YOUR PROFILE. Leave it there! No remove am o! 

Now sit back and watch females fall for you, even when they know you have no intention of catching them . You'll thank me later.

SIMUELEWI BINTI HUYU, AMENITENDA ILA BADO ANANING'ANG'ANIA

Kuna binti (mwanachuo) ambaye tulikubaliana kuwa baada ya miaka kadhaa tutaunda kafamilia ketu, Baada ya miaka miwili ya mahusiano yetu (march 2013) nilipata tatizo la kusimamishiwa mshahara na ndani ya kipindi hicho huyo mrembo(aliyekuwa mchumba wangu) aliniambia kuwa anashida ya pesa, Nami kwa kusema ukweli sikuwa na kitu na ningefanyaje hali ya kuwa nishazoea kukinga kwenye ATM mashine tu! Nikampa ukweli kuwa nimevamba kwasababu sina mshahara ila hakuniamini, Akaanza kuniropokea maneno mi nikamwambia "usinisumbue kwani we si una wazazi na wanajua uko chuo? Waambie wakutatulie tatizo lako kama kweli ni la msingi."
Na ukweli wazazi wake hawana njaa sana. Ila baada ya hapo mawasiliano hayakuwa mazuri nami sikumfatilia kwasababu nilimuona sio muungwana, Yeye alikuwa ananipigia mara chache lakini maongezi yalikosa utamu ule uliozoeleka. Mwezi wa nane nilihudhuria mafunzo fulani yaliyonilazimu ninunue modem ya Airtel hivyo nikapata namba mpya ya simu na kwakuwa nilijiunga na vifurushi ktk laini hiyo mpya nilikuwa na muda na sms za kutosha. Jion moja nikamtext "Niambie mke wangu?" Akanijibu kwa ukali lkn nikamzingua had akawa mlain japo hakunijua mimi nani. Tukaendelea kuchat had ukafika muda nikamlazimisha aniambie mimi ni nani maana alishaniambia yeye ana mume mmoja ila alipotaja jina nusura chozi linitoke kwani alinitajia jina tofauti na langu. Nikakaa kidogo nikampigia aliposikia sauti yangu akapatwa na bumbuwazi akakata simu, nikampigia tena akapokea lakini hakuweza kuongea la maana alianza kulia huku akiniambia huyo aliyenitajia ni jamaa mmoja wa first year(ye ni 2nd yr). Alimtongoza tu walikuwa wanawasiliana na anamuita mumewe,baby ili tu amnyenge pesa zake ila hajasex nae hivyo nisiamue lolote. Niliamua kumpuuzia toka siku hiyo ila bado ananisumbua anaomba nimsamehe ili tutimize lengo letu. Kinachonisumbua zaidi sikubahatika kufanya maamuzi ya wazi nimekaa kimya tu nausikilizia upepo japo maisha bila mpenzi nimeyaona ya amani ila hayana furaha.


SASA WAUNGWANA NIPENI MAWAZO YENU:

MATAPELI KENYA WATUMIA JINA LA MWANAMUZIKI AVRIL KUJIPATIA HELA KWA UDANGANYIFU ONLINE

Matapeli wa Mtandaoni Kenya watumia Jina la Mwanamuziki Maarufu kwa jina la Avril kujipatia hela kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa mashabiki kwa kutumia Facebook profile fake yenye jina lake..hii hata hapa Tanzania ipo sana ...


Hii imepelekea Avril kuandika Warning Kali kwa watu na kuwataadharisha na waizi hao wa njia ya mtandao ..Soma alichoandika hapa chini:
"Fam I have received reports from most of you about someone posing as me on social media and luring young girls to pay for enrolments for supposed employment. Please, I have said this so many times, I DO NOT conduct any business on social media let alone have an employment agency. Please be careful and do not be naive because cons will always be with us and I would hate to have anyone hurt or stolen from in the pursuit of trying to get a career going in whatever field that these people are proposing"

AVRIL AOMBA MSAMAHA KWA KUPIGA PICHA NA MUME WA MTU ..BAADA YA PICHA KULETA MANENO MENGI ONLINE

Picha ambayo aliiweka Avril Mtandaoni akiwa amepiga na mtangazaji wa Radio ya Q FM Rashid Abdalah ambaye ni mume wa Lulu Hassan Mtangazaji wa Citizen TV ilileta Utata Baada ya Mashabiki wake kuanza kusema hao wawili wana Uhusiano wa tofauti na kazi...

TID APIGWA KIBUTI NA MPENZI WAKE NA KUSEMA HAYA "AM SINGLE AGAIN MY GAL JUST LEFT ME"


Leo asubuhi nimekutana na hii Massage ya Mwanamuziki wa Bongo Flava TID kwenye Ukurasa wake wa Facebook ikisema "I am very sad to tell u guys that ..........am single again my girl just left me" 

Akimanisha kuwa ninasikitika kuwaambia kuwa mimi ni single tena msichana wangu ameniacha...

WEMA, DIAMOND WAMTESA PENNY

Stori: Mwandishi Wetu

ISHU ya wapenzi zilipendwa, Wema Isaac Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kudaiwa kurudiana inadaiwa kumtesa mpenzi wa sasa wa Diamond ambaye ni mtangazaji wa DTV, VJ Penniel Mungilwa ‘Penny’ hivyo kulazimika kukiri kuwa hajawahi kupitia wakati mgumu kama anaopitia sasa.

Kwa mujibu wa vyanzo vya karibu na Penny, mwanadada huyo amekuwa akikosa amani kila anaposikia habari za Wema kurudiana na Diamond hivyo kuwa katika wakati mgumu.
“Watu wanapomwambia au kumuuliza Penny habari za Diamond kurudiana na Wema amekuwa akiumia sema tu watu hawajui,” kilisema chanzo hicho.
Hata hivyo, baada ya taarifa hizo kuwa habari ya mjini, mwishoni mwa wiki iliyopita, Penny alifunguka kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa anachokifanya ni kuhakikisha anamshikilia staa huyo wa Bongo Fleva hadi hapo Mungu atakapoamua vingine.

“Katika uhusiano niliowahi kuwa nao huu ni mgumu mno,” ilisomeka sehemu ya utetezi wa Penny aliouandika juu ya penzi lake na Diamond.


Hakuishia hapo kwani aliendelea kujitetea kwa wadau wake ambao walimjibu kuwa kinachoonekana anamhofia Wema ambaye akikita penzi lake kwa Diamond, kwa ustaa wake, atamfanya mwanamuziki huyo kuendelea kuliweka juu jina lake.
Katika maelezo yake, Penny alikiri kuwa mapenzi yanatesa lakini anaamini mateso hayo ni ya muda tu hivyo liwalo na liwe yeye anampenda Diamond.

Wiki iliyopita, Wema na Diamond waliripotiwa wakidaiwa kurejesha upya penzi lao lililozimika mwaka jana, jambo ambalo lilimpa Penny wakati mgumu huku akieleza kuwa anachoamini ni kuwa yeye ndiye mmiliki halali wa penzi hilo.

HATARI:KOBE MKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI APATIAKANA


The World’s largest tortoise found in Amazon River is around 529 years old / height-59 feet/ weight-800 pounds OR 362.87 kg incredible.

The red rimmed tortoise is also called the red-foot or red-legged tortoise, the Brazilian giant tortoise, or South American forest tortoise.

These types of large size tortoise are always found in the Amazon River, most of them are found in (Peru, Brazil, Colombia, Venezuela, and so on) the Adults often reach 3m in length, however this one is much larger. The tortoise Females have wide flattened shells, are larger and more numerous than the males tortoise, the Adult tortoise Arraus feed entirely on plant food.

Their main diet is a plant that is native to the Chtac Province region of Brazil. These flowers of this plant have a gene in them which promotes increased cellular life thus allowing those that consumed them to have a greater lifespan. Amongst the native inhabitants are turtle’s that grew constantly in their lifespan until the day they died. The introduction of this flower into their diet thus allowed them to grow to immense sizes and they served as local guardians to the plant.

It was first discovered by the modern world in 1892 by Haughton who was the last person to had seen it in the century.

The nesting habits of this species are similar to those of sea turtles. Just like sea turtles they gather meet in huge numbers so they can travel to suitable nesting areas. The female tortoise lay their eggs on sandbanks that are exposed where there is only dry season but there are relatively few such sites.

The females timing is to come out on the sandbanks at night time to lay their eggs and go back to the sea, which can number anywhere from 90 to 100 soft-shelled eggs. and they then return to their feeding grounds which they belong to.

The young when hatched are around 5 cm long darts directly for the water, but they emerge to the attentions of many predators so they can only about five percent ever reach the adult feeding grounds. This it is an endangered species and is protected in some country and areas. - See more at: http://www.naijapicks.com/2013/09/worlds-largest-tortoise-529-years-old.html#sthash.aZOOCovi.dpuf
The World’s largest tortoise found in Amazon River is around 529 years old / height-59 feet/ weight-800 pounds OR 362.87 kg incredible.

The red rimmed tortoise is also called the red-foot or red-legged tortoise, the Brazilian giant tortoise, or South American forest tortoise.

These types of large size tortoise are always found in the Amazon River, most of them are found in (Peru, Brazil, Colombia, Venezuela, and so on) the Adults often reach 3m in length, however this one is much larger. The tortoise Females have wide flattened shells, are larger and more numerous than the males tortoise, the Adult tortoise Arraus feed entirely on plant food.

Their main diet is a plant that is native to the Chtac Province region of Brazil. These flowers of this plant have a gene in them which promotes increased cellular life thus allowing those that consumed them to have a greater lifespan. Amongst the native inhabitants are turtle’s that grew constantly in their lifespan until the day they died. The introduction of this flower into their diet thus allowed them to grow to immense sizes and they served as local guardians to the plant.

It was first discovered by the modern world in 1892 by Haughton who was the last person to had seen it in the century.

The nesting habits of this species are similar to those of sea turtles. Just like sea turtles they gather meet in huge numbers so they can travel to suitable nesting areas. The female tortoise lay their eggs on sandbanks that are exposed where there is only dry season but there are relatively few such sites.

The females timing is to come out on the sandbanks at night time to lay their eggs and go back to the sea, which can number anywhere from 90 to 100 soft-shelled eggs. and they then return to their feeding grounds which they belong to.


The young when hatched are around 5 cm long darts directly for the water, but they emerge to the attentions of many predators so they can only about five percent ever reach the adult feeding grounds. This it is an endangered species and is protected in some country and areas. -

MTUHUMIWA MUHIMU WA MAUAJI YA BILIONEA ERASTO AKAMATWA AKITAKA KUTOROKA

Jeshi la Polisi nchini limefanikiwa kumtia mbaroni mtuhumiwa muhimu wa mauaji ya mfanyabiashara bilionea wa Arusha Erasto Msuya wakati akijaribu kutoroka kwenda Burundi.
Habari za uhakika zilizopatikana jana, zilisema mtuhumiwa huyo (jina tunalo), alikamatwa juzi asubuhi mkoani Kigoma akiwa katika harakati za kutoroka kuelekea nchi jirani ya Burundi.
Mtuhumiwa huyo ndiye anadaiwa kumshawishi marehemu kwenda kukutana na wauaji wake eneo la Mijohoroni wilayani Hai Agosti 7, mwaka huu na alikwenda pamoja na marehemu hadi eneo la tukio.
Habari zinadai mara baada ya marehemu kuuawa kwa kumiminiwa risasi zaidi ya 20, mtuhumiwa huyo alitoroka kutoka eneo la tukio akitumia moja kati ya pikipiki mbili zilizotumika katika mauaji hayo.
Tangu kutokea kwa mauaji hayo, polisi ambao wameonyesha weledi wa hali ya juu katika upelelezi wa mauaji hayo, walikuwa wakimfuatilia mtuhumiwa huyo ambaye alikuwa akijificha katika mikoa tofauti.
Habari nyingine zinadai kuwa watuhumiwa waliokodishwa kumuua mfanyabiashara huyo waliahidiwa kulipwa kitita cha Sh4 milioni kila mmoja na kila mmoja akalipwa malipo ya awali ya Sh1 milioni.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Robert Boaz alithibitisha kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo aliyesema ni ìmuhimuî na kwamba mipango ya kumrejesha Moshi inaendelea kufanyika.
Kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo kunafanya idadi ya watuhumiwa ambao wamekwishakamatwa hadi sasa kufikia wanane wakiwamo wafanyabiashara wawili wenye ukwasi ambao tayari wamefikishwa mahakamani.

WATOTO WASEMA HAYA TUMECHOKA

HALI inatisha! Kundi la vijana wahuni lililopo maeneo ya Mgeninani, Mbagala-Kuu jijini Dar, linadaiwa kuhusika katika vitendo vya kulawiti wanafunzi wa shule za msingi na chekechea zilizopo maeneo hayo na kusababisha madenti hao kusema: “Tumechoka kulawitiwa!”
Awali ‘makamanda’ wa Oparesheni Fichua Maovu (OFM) walipokea taarifa kutoka kwa mmoja wa wazazi waliolalamikia watoto wao kulawitiwa na vijana hao na kuwaomba wafike eneo hilo ili kukomesha matukio hayo.

Thursday, October 3, 2013

RAFIKI YANGU WA KIKE ANANISHAWISHI NIINGIE KATIKA MAPENZI YA JINSIA MOJA (USAGAJI)

Mimi ni Msichana wa makamo tu nimeolewa miaka miwili sasa na nina watoto wawili , nafanya kazi kwenye kampuni moja kubwa tu hapa Dar es salaam , hivi karibuni nimekuwa na rafikia ambae tuna fanya nae kazi hapa ofisini ambae nimekuwa nikimwelezea matatizo yangu na mme wangu kuwa aniridhishi kitandani....cha ajabu aliniambia kama ninataka kuridhika bora niingie katika usagaji ..cha ajabu aliniweka wazi kabisa kuwa yeye huwa anasagwa na huwa anasikia raha sana kiasi wanaume si deal kwake ..Toka aniambie hivyo kila akija ofisini kwangu ananibusu na kunikumbatia kwa nguvu...Juzi alitaka kunivua chupi nikakataaa kabisa kwani bado hainiingiii akilini kufanya mchezo huo na msichana mwenzangu ....japo kwa upande mwingine natamani kujaribu ....Naomba ushauri nifanyaje....No matusi pliz

USINGIZI NOMA:MTU NA MPENZI WAKE WAKUTWA WAMELALA MCHANA KWEUPEE KWA RAHA ZAO

Mhh Unazani nini kilikuwa kinaendelea hapa .....mchana mchana kama huu ?

Wednesday, October 2, 2013

MWANAFUNZI WA MIAKA 13 AJIFUNGUA MTOTO WA MIEZI 6 SEBULENI BILA KUJIJUA


MWANAFUNZI WA MIAKA 13 AJIFUNGUA MTOTO WA MIEZI 6 SEBULENI BILA KUJIJUA
MSICHANA aliyejitambulisha kwa jina la Salma Hemedi (13) mwanafunzi wa Shule ya Msingi Ubungo Plaza, Dar amejifungua maiti ya kichanga cha miezi 6 bila mwenyewe kujijua.
Tukio hilo lilitokea Septemba 25, mwaka huu maeneo ya Ubungo National Housing jijini Dar ambapo asubuhi ya siku hiyo, Salma alilalamikia maumivu ya tumbo lake kiasi cha mama yake aliyejitambulisha kwa jina la Rahma Shabani kwenda kuomba msaada wa kitabibu.
Mwanamke huyo alieleza kwamba baada ya kurudi ndani alikomuacha mwanaye, alimkuta akiwa amejifungua kichanga sebuleni, kitu ambacho hakukitarajia kwa kuwa alizoea kumnunulia vifaa vya kujisitiri wakati wa hedhi kila alipomlalamikia maumivu ya tumbo akijua yupo kwenye siku zake.
Akiwa na manesi walioongozana naye, walimsaidia Salma huku kila mtu akiwa amepigwa na butwaa kwa kilichotokea kwani hakuna aliyekuwa anajua kama Salma alikuwa na ujauzito.
Akiongea na waandishi wetu, Salma alisema alipewa ujauzito na mwanaume aliyemtaja kwa jina la John Vicent ambaye alikuwa mtoto wa mwenye nyumba wao wa zamani.
Salma alisema kuwa John alikuwa akimshawishi kila mara kufanya mapenzi japo alimkatalia kwa kuwa alijua akifanya kitendo hicho atapata mimba. 
Salma alizidi kutiririka kuwa John alikuwa akimpa dawa alizodai ni za kuzuia ujauzito. 
Baada ya kupata taarifa hizo mama wa Salma pamoja na ndugu zake walitoa taarifa Kituo cha Polisi Urafiki ambapo walifungua jalada la mashtaka lenye namba RB, URP/RB/7316/2013 KUBAKA na kupewa PF3 kwa ajili ya matibabu na uthibitisho wa daktari.
Walimu wa shule anayosoma Salma, walipigwa na butwaa baada ya kupata taarifa hizo na kueleza kwamba hawakuwa na taarifa kwamba denti huyo alikuwa mjamzito.
Kichanga hicho kilizikwa makaburi ya Ufi, Shekilango jijini Dar.

ALIYEKUFA AKIWA NA MADAWA YA KULEVYA TABATA...CHANZO NI KUTOA MADAWA YA KULEVYA TUMBONI KWA NJIA YA HAJA KUBWA


SIRI nzito imefumuka na ukweli kuanikwa baada ya Rajabu Kandunda, 43, mkazi wa Kigogo Luhanga kufariki dunia wiki iliyopita jijini Dar es Salaam akiwa na madawa ya kulevya tumboni.
Marehemu Rajabu Kandunda enzi za uhai wake. Uchunguzi umebaini kwamba, Kandunda alifariki dunia wakati akitoa madawa kwa njia ya haja kubwa nyumbani kwa rafiki yake aitwaye Nassiri Omari Rajabu maeneo ya Tabata Mawenzi, jijini Dar es Salaam.

SANGOMA ANASWA AKILINDA WAHAMIAJI HARAMU KWA DAWA

Mganga akamatwa na hirizi zenye chura wanaopumua akizitumia kuwauzia wahamiaji haramu wasiweze kukamatwa katika Operesheni Kimbunga.
Kampeni ya kitaifa ya kuwaondoa wahamiaji haramu nchini iliyopewa jina la “Operesheni Kimbunga”, imezidi kuibua mambo mazito baada ya mganga wa kienyeji, kugundulika akitumia uchawi ili kuwalinda wahamiaji hao wasikamatwe.

Tuesday, October 1, 2013

USTAA KAZI:HUDDAH MONROE AAMUA KUTUWEKEA TAKO LAKE LIVE LIVE KWENYE INSTAGRAM

Ustaa kweli kazi baada ya kuona Media zimepunguza kumuongea mrembo huyu Hudda Monroe kutoka kenya jana Usiku kapost picha ya tako lake akiwatakiwa watu Good nite....MMhhh Unashangaza jamani ...Maadili kwishney....