Sunday, July 19, 2009







Tukila mastarehe pale Afrikana Pub Mbezi Beach tukiwadekulia macho wazee wa masauti - Akudo Impact wakifanya vitu vyao.






Tukiwa na mama mzazi nyumbani kijijini Mwangombe Tanga.



Kombo akiwa na nduguze kijijini Mwangombe, Tanga. Toka kushoto, Kombo II, Kombo III na Msikiti, watoto wa marehemu kaka yangu.











Mojawapo ya Hoteli mpya Jijini Tanga ni hii ya Regal Naivera Hotel ambayo kidogo inaisaidia Mkonge kuchukua wageni.




Mji wa Tanga bado uko nyuma sana ukilinganisha na miji mingine mikubwa Tanzania kwa kuwa na mahoteli machache yenye hadhi nzuri. Sehemu nzuri za ujenzi zipo lakini...


Wakati wa likizo yangu nilionelea ni vizuri nikatembelea sehemu zilizosaidia kunijengea msingi wa maisha na kunifikisha hapa nilipo leo hii. Shule ya msingi Uhuru pale Arusha ndipo niliposomea kuanzia darasa la kwanza mpaka la saba, na baadae kuingia Arusha Meru kwa kidato cha kwanza na ndipo nilipoamia Imboru(Mbulu) halafu Shaaban Robert(Dar).


Jiji la Kimataifa la Arusha

Tangazo la Beenie Man alipofanya onyesho Dar usiku wa Juni 27. Palikuwa hapatoshi, mimi niliamua kwenda kuwaona Wazee wa Kwasuma.

Wednesday, July 15, 2009












The Ngoma Africa Band aka FFU ! watatumbiza mjini Tampere,Finland katika onyesho la aina yake Fest-Afrika! litakalo fanyika siku Jumamosi 18 Julai 2009,katika sehemu ijulikayo kama Klub, mjini Tampere,Finland.
Kiongozi wa bendi Ebrahim Makunja aka Ras Makunja atakiongoza kikosi chake kuelekea mjini Tampere,Ufini kwa ajiri ya kuwapa burudani ya asiye na mwana abebe jiwe! washabiki wa Ufini,ambao ngoma africa imewapa cheo washabiki hao kuwa ndio wahajili wao huko ufini!.
Bendi hiyo mashuhuri kwa kuwatia kiwewe washabiki barani ulaya imeshawahi kutumbuiza huko ufini mwanzoni mwa februari mwaka huu 2009 nyakati za msimu wa baridi na kutoana jasho na washabiki! wameitwa tena kwa kazi moja tu ya kutoa burudani ya kukata na mundu.Wadau wa Ufini na scandinavia kwa ujumla chereko chereko na mwenye mwana!
watumishi wenu The Ngoma Africa Band wanakuja kuwapa burudani
wasikilize hapa
www.myspace.com/thengomaafrica ukiwataka ngoma4u@googlemail.com




Mambo ya vacation ni kama hivyo tena....





Bado naendelea na likizo yangu na moja ya mambo mazuri niliyoyaona ni jinsi Jiji la Arusha linavyozidi kupendeza kutokana na kuweka kwenye mandhari mazuri kama picha juu zinavyoonyesha.

Saturday, July 11, 2009





Nikiwa Dar nilibahatika kukutana na rafiki yangu Ally ambaye anaendesha shughuli zake mwenyewe na kampuni yake ya DAHAL MOTORS LTD. Pichani juu ilikuwa ni kwenye banda lake kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Saba Saba.

Samahanini wapenzi wote wa blogu hii kwa kushindwa kwangu kuwa hewani kwa kipindi sasa. Ukweli ni kwamba niko likizo nyumbani(Bongoland) na heka heka zimenizidia kidogo. Msijali sana kwani likizo karibu inafikia ukingoni na mambo yatarudi kama kawaida.

Aksanteni kwa uvumilivu.
Fundi wa Kombo

Friday, June 26, 2009

Mr. Hashim T. akichekelea baada ya kuchaguliwa namba mbili kwenda kuchezea timu ya Memphis wakati wa uchaguzi wa mwaka huu wa kuingia NBA... WABONGO WOTE TUNAKUPA HONGERA NA KUKUTAKIA MAFANIKIO MAKUBWA! Wakilisha..


LOS ANGELES – Authorities are seeking to clear up the mystery surrounding Michael Jackson's death, including whether prescription drugs could have been a factor.
An autopsy was planned for Friday, though results weren't likely to be final until toxicology tests could be completed, a process that could take several days and sometimes weeks. However, if a cause can be determined by the autopsy, they will announce the results, said Los Angeles County Coroner Investigator Jerry McKibben.
Police said they were investigating, standard procedure in high-profile cases.
Brian Oxman, a former attorney of Jackson's and a family friend, said he was concerned about Jackson's use of painkillers and he warned the singer's family about possible abuse.
"I said one day, we're going to have this experience. And when Anna Nicole Smith passed away, I said we cannot have this kind of thing with Michael Jackson," Oxman said Friday on NBC's "Today" show. "The result was, I warned everyone, and lo and behold, here we are. I don't know what caused his death. But I feared this day, and here we are."
The 50-year-old musical superstar died Thursday, just as he was preparing for a series of 50 concerts starting July 13 at London's 02 arena.
He died at UCLA Medical Center after being stricken at his rented home in the posh Los Angeles neighborhood of Holmby Hills. Paramedics tried to resuscitate him for nearly three-quarters of an hour, then rushed him to the hospital, where doctors continued to work on him.
His brother Jermaine said it was believed that Jackson suffered cardiac arrest at his home. Cardiac arrest is an abnormal heart rhythm that stops the heart from pumping blood to the body. It can occur after a heart attack or be caused by other heart problems.
A handful of bleary-eyed fans camped out throughout the night with media outside the Jackson family house in the San Fernando Valley and near his star on the Hollywood Walk of Fame.
Oxman, who said he was speaking on behalf of no one but himself, and other friends made the rounds among the news outlets, adding to the intrigue of Jackson's early demise. Oxman claims Jackson had prescription drugs at his disposal to help with pain suffered when he broke his leg after he fell off a stage and for broken vertebrae in his back.
"When the autopsy comes, all hell's going to break loose, so thank God we're celebrating him now," Liza Minnelli told CBS' "The Early Show" by telephone.
In 2007, Jackson settled a lawsuit filed by a Beverly Hills pharmacy that claimed the singer owed more than $100,000 for prescription drugs over a two-year period.
After Jackson was acquitted on child molestation charges in 2005, Santa Barbara County District Attorney Tom Sneddon argued returning some items belonging to Jackson he labeled "contraband." Sneddon said those included syringes, the drug Demerol and prescriptions for various drugs, mainly antibiotics, that were in different people's names.
Jackson's 1982 album, "Thriller," is the best-selling album of all time, with an estimated 50 million copies sold worldwide.
Billboard magazine editorial director Bill Werde said Jackson's 13 No. 1 one hits on the Billboard charts put him behind only Elvis Presley, the Beatles and Mariah Carey.

Thursday, June 25, 2009












Afrika ya Kusini yalala bao 1-0 kwa Wabrazili... wachawi wa soka!










LOS ANGELES – Michael Jackson's brother says it's believed that the pop star died of cardiac arrest.
Jermaine Jackson cautioned at a hospital press conference Thursday that the cause of his death would not be known until an autopsy was performed.
He said Michael Jackson's personal doctor and paramedics tried to resuscitate him at his rented home in Holmby Hills. A team of doctors at UCLA Medical Center also tried for more than an hour.
Los Angeles police Lt. Gregg Strenk said at a separate news conference that police robbery-homicide detectives have been ordered to investigate, which is common in a high-profile case. Strenk says the coroner's office, which will handle inquiries into the type of death, is taking possession of the body.





Tuesday, June 23, 2009

Nani alisema eti ghorofa lazima ijengwe kwa tofali na vyuma na sio udongo na miti?