Sunday, August 18, 2013

Rais wa Malawi ammwagia sifa Rais Kikwete..

RAIS wa Malawi, Joyce Banda amempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kuimarisha demokrasia, amani na usalama katika nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za kusini mwa Afrika (SADC).

Banda alitoa pongezi hizo jana wakati akihutubia Mkutano wa 33 wa Wakuu wa SADC baada ya kukabidhiwa nafasi ya uenyekiti wa jumuiya hiyo kutoka kwa Rais wa Msumbiji, Dk Armando Guebuza.

“Wananchi wa Malawi, mimi na SADC tunampongeza Kikwete kwa kuimarisha amani, demokrasia na usalama katika jumuiya katika kipindi chake cha uongozi (wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama),” alisema.


“Pia Rais wa Msumbiji, Armando Guebuza katika uongozi wake wa uenyekiti alishirikiana na Kikwete kushughulikia matatizo ya kisiasa na kuufanya ukanda wa nchi za SADC kuwa na amani,” alisema Rais Banda, ambaye nchi yake ina mgogoro na Tanzania juu ya mpaka wa Ziwa Nyasa.

Mgogoro huo uliibuka baada ya Serikali ya Malawi bila kushauriana na Tanzania, kutoa leseni kwa kampuni mbili za kigeni, kutafuta mafuta katika eneo la Ziwa upande wa Tanzania.

Chanzo cha mgogoro huo unaoshughulikiwa na jopo la marais wastaafu wa Afrika; Thabo Mbeki (Afrika Kusini), Joachim Chisano (Msumbiji), Festus Mogae (Botswana) na wanasheria saba wa kimataifa, ni mikataba yenye utata iliyoachwa na wakoloni.

Sifa za Kikwete
Katika kipindi cha mwaka mmoja cha uongozi wa Rais Kikwete katika asasi hiyo ya siasa, ulinzi na usalama aliweza kufanikisha kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Zimbabwe, ambao Robert Mugabe ameshinda.

Amefanikisha pia kuanza kwa mchakato wa amani na kupatikana kwa muafaka wa kisiasa nchini Madagascar.

Pia katika kipindi chake, alifanikisha kupelekwa kwa wanajeshi wa kulinda amani katika mji wa Goma, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ambapo waasi wa M23 wanapambana na wanajeshi wa serikali. Wanajeshi hao wa kulinda amani wametoka Tanzania, Malawi na Afrika Kusini.

Rais Kikwete amekabidhi madaraka hayo jana kwa Rais wa Namibia, Hifikepunye Pohamba. Banda aahidi amani Akizungumzia mkakati wake wakati wa uongozi wake wa mwaka mmoja kama Mwenyekiti wa SADC, Banda alisema ili ukanda wa SADC uwe na amani na usalama ni lazima nchi wanachama zipambane na umasikini.

“Lazima tuimarishe siasa za ndani za nchi zetu, tuwe wavumilivu wa kisiasa na tusaidie wanawake wasiwe nyuma,” alisema. Aliahidi kuimarisha jumuiya za kikanda pamoja na kilimo kwa maelezo kuwa kilimo ndicho mwajiri mkuu wa wananchi wa nchi za SADC.

“Nitahamasisha kilimo kiboreshwe ili wananchi wa SADC waweze kuendesha kilimo cha biashara na pia sekta binafsi waingie kwenye kilimo na tupate masoko mapya ya bidhaa za kilimo nje ya mipaka ya ukanda wetu”.


Alitaka katika ukanda wa jumuiya ya SADC kuboreshwe mwingiliano wa wananchi wa nchi za ukanda huo. Alisema haiwezekani kuboreshwa kwa jumuiya za kikanda bila kuruhusu mwingiliano huru wa wananchi wake.


Rais Banda alitaka wanawake wapewe nafasi katika uongozi na kujengewa uwezo katika kuimarisha uchumi na kuondokana na umasikini na kusisitiza kuwa, “wanawake ndiyo wanaopambana na umasikini, wanabakwa, wanakabiliwa na unyanyasaji na wengi wamepoteza utu wao”.

Kwa upande wa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU), Dk Nkosazana Dlamini- Zuma alizitaka nchi za Afrika kuimarisha miundombinu ili mazao ya wakulima yaweze kusafirishwa pamoja na kuboreshwa kilimo, uwekezaji na kujengwa kwa viwanda.


“Lazima tufanye kazi pamoja kuwahakikishia chakula watu wetu wa SADC na Afrika haiwezi kuendelea bila kuweka wanawake kila maeneo na kutafuta ufumbuzi wa changamoto zinazotukabili za tatizo la ajira kwa vijana, umasikini, sekta duni ya viwanda na tatizo la kutokuwepo usawa wa kijinsia,” alisema Zuma

Ujumbe wa Ray C kwa wavuta bangi wote...


Ray C ambaye aliathirika na matumizi ya dawa za kulevya na baadae kupona ameendelea kuwa kioo cha jamii kwa ku-share experience yake baada ya kupona kwenye ishu ya dawa za kulevya.

Msanii huyo ametoa ujumbe mpya ambao ni muhimu kila mtu kuujua kwasababu kwenye mazingira yetu kuna waathirika wengi wa dawa za kulevya.

Haya ndiyo maneno ya Ray C mwenyewe ambayo yana ujumbe mzuri ndani yake:

“Wote hawa tuliokaa hapa(picha hapo chini) tuliathirika na dawa za kulevya na tumepona kwa kunywa dawa moja tu inayoitwa Methadone. Inapatikana Muhimbili na Mwananyamala pekee na ni bure kabisa.

"Tunamshukuru sana Mh Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutuletea dawa hii.Ningependa kuwashauri walioathirika wa dawa za kulevya iwe wewe,ndugu yako,rafiki,kaka,dada,mjomba,jirani au yoyote aliye karibu na wewe.

"Usiogope amua tu kwamba unataka kupona na nenda kanywe hii dawa utapona kabisa.”

HAWEZI " KU S>X " MPAKA ASHIKILIE NA MKONO.......HUU NDO UFUMBUZI WA TATIZO


Mimi ni msichana nimewahi kuwa na rafiki wa kiume hapo nyuma, huyo kaka alikua tu kama rafikiyangu baadae ikatoke tukapendana na kuwa mtu na girlfriend wake I mean tulianza kutoka kama wapenzi.

Huyo mwanaume alikua yuko nice ingawa baadae tulikuja tukaachana. Tatizo la huyo mwanaume ni wakati wa kufanya mapenzi. 


Tulikua tukifanya romance , tukiwa tunajiandaa kufanya mapenzi alikua yuko vizuri , tu tunaendana vizuri na wote tunakua tuko tayari kungonoka ila wakati wa kungonoka ndo kasheshe linaanzia hapo.

Kwanza uume wake hauingii, yaani ni lazima ashikilie na mkono ndo aanze kuingiza na kutoa na hata kama akishikilia bado hawezi kutia kabisa yaani hawezi kwenda juu na chini na hata mimi nashindwa kumsapoti kukatika kwani uume wake unakua kama umeshasinyaana.



Kitu kingine alikua anadai eti uchi unateleza kwa hiyo ananifuta ndio aingize ukiwa mkavu kabisa wakati mimi najua uchi ukiwa una ute ndio rahisi kwa kufanya mapenzi na pia haiwi kazi ngumu kuingiza.


Uume wake ulikuwa unaonekana umesimama sana ila hauingii unakua kama hauna nguvu. 


Huyu mwanaume alinitesa kweli kihisia kwani nilikua na ham sana lakini ndio hivyo hawezi kuingiza nakuiacha peke yake ....lazima aishikilie na mkono na ananifuta uchi uwe mkavu ndio ajaribishe kuingiza....


Yaani kuna mda tulikuwa tunafikia mpaka tunaamua kuacha kwani hafanikiwi kuingiza anajishikilia kwenye kichwa anaingiza kichwa kidogo.

Nakumbuka nimeshawahi kuwa nae siku mbili lakini alifanikiwa kuingiza mara moja na hakukaa hata dakika kumi ikatoka.

Alafu sijawahi muona akipiga bao zaidi ya mara moja tu .JE, hili ni tatizo gani kwa mwanaume huyu? 

Ukimuangalia ni handsome, ananguvu za kutosha tu na uume wake unasimama vizuri na ni mkubwa vizuri na isitoshe nilikuwa namfanyia blow job ya kutosha na nampa romance ya kutosha kuhakikisha yuko tayari lakini wapi.


Mwenzenu yaliyonipata ndio hayo, Ingawa yule mwanaume niliachana naye ila kila siku nimekuwa nikifikiria je hili ni tatizo gani? Nimekaa na siri moyoni lakini kwa kweli imenishinda .


Na sio kwamba umri wake ni mkubwa ni bado kijana mdogo hajafika hata miaka thelathini, kwa mnaojua labda nini atumie ili awe anajiweza kimapenzi hata nijaribu kumshauri kwani nasikia hata msichana aliyenae sasa ameshaanza kulalamika kwa watu.


Na sikupenda lile tatizo lake kwani wakati wa tendo alikua anahangaika sana utamuonea huruma na tunaishia tu kujaribu kuingiza hatufanikiwi kufanya.

Asanteni.

USHAURI WA TATIZO: 

Hili tatizo lipo kwa kiasi kikubwa sana miongoni mwa wanaume lakini kutokana na UANAMUME huwa hawapendi kulizungumzia sio kwa wapenzi wao tu bali hata kwa madaktari.

MTAZAMO

HUYO MTU ANATATIZO LIITWALO PARTIAL IMPOETANCE.

HUSABABISHWA NA VITU VINGI,WOGA WA MUNGU,WOGA WA MAHALI PA KUFANYIA TENDO,

WOGA WA MAGONJWA,WOGA KWA MSICHANA KWA MAANA YA KUOGOPA KUUMBUKA AU KUMKAMIA SANA MSICHANA AU KWA KUTAKA KUMWOMYESHA BINTI KUWA ANAYAWEZA.

NA MSONGO WA MAWAZO KWA UJUMLA.PIA HUTOKEA KAMA MTU HAJAMFEEL SANA MTU AU ANASUTWA NA NAFSI KWA KUTAKA KUIBA NGONO.

NYONGEZA YA VISABABISHI.

1)-Maumbile ambayo wengi wanarithi.

2)- Mtu aliyezoea kupiga punyeto kwa muda mrefu

3)- Matatizo ya Kisaikolojia yaliyosababishwa na wanawake (ana historia mbaya na wanawake),

3)-Kuugua kwa muda mrefu huko nyuma (matokeo ya matumizi ya dawa mbali mbali),

4)-Kutojiamini,

5)- Wewe kutokuwa "relaxed" yaani unanyege na uko mnyevu lakini pia uko "tense" hatoweza kuingia na jinsi anavyojitahidi kuingia anashindwa inampunguzia kujiamini hata kuhisi kuchoka na kupoteza ugumu wa uume wake.

6)-Stress kutokana na maisha au shughuli za kimaisha na kazi.

7)-Kutokujua afanyacho (sio mzoefu sana) na labda anajua wewe mambo yako yako juu.

8)-Umri mdogo kitu kinachoweza kusababisha yeye kutokuwa tayari kwa tendo au kuwa kenye uhusiano wa kimapenzi na ngono......nakadhalika.

NINI KIFANYIKE?
Kutokana na umri mdogo wa mpenzi wako huyo wa zamani sidhani kama ni busara kumshauri kutumia dawa za kuongezea nguvu zile za kisasa au za kienyeji za kiume kabla ya kujaribu njia za kawaida ambazo hazina madhara .

Njia hizo ni kujitahidi na kujua hali yake hiyo inasababishwa na nini hasa? Na hilo litafanikiwa ikiwa ataondoa aibu na kuweka pembeni "ego" yake na kwenda kumuona Daktari na kumueleza yaliyomsibu huko nyuma kama yapo(Kisaikolojia), Kinachompata anapokuwa na wewe (labda kutojiamini/uoga), amewahi kuugua alipokuwa mdogo, kuna matatizo ya kiafya kiukoo kama kisukari n.k


Sasa kwa vile hana mpenzi kwa sasa na wewe inaonyesha unampenda, unamjali na kutaka kumsaidia basi sio mbaya kama mkarudiana (sio lazima ) ukamsaidia kwa kutumia bidhaa iitwayo "cock ring"..

Inapatikana kwenye maduka ya dawa sambamba na Condom lakini "pete ya uume" hiyo husaidia kuufanya uume kubaki mgumu kwa kutoruhusu damu iliyojaa uumeni kushuka chini nakusababisha "kiungo" kulegea au kupoteza u-firm wake.

Kifaa hiki huwekwa chini kabisa karibu na pumbu pale uume unaposimama na kukaza hali itakayomfanya mwanaume asimamishe kwa muda mrefu kuliko kawaida yake na haina maumivu yeyote kwako wewe wala yeye mwanaume kwani bidhaa hiyo imetengenezwa kwa mpira. 

Vilevile ajitahidi kula vyakula vyene vitunguu saumu, apendelee kula vyakula vya baharini hasa pweza.

Mtandao wa Rwanda wadai Rais Kikwete si Mtanzania Original

Mtandao wa News of Rwanda juzi umeandika makala yenye kichwa cha habari, ‘If President Kikwete is Tanzanian, then most Rwandans being expelled are Tanzanians too’ na kuandika kile linachodai kuwa Rais Kikwete anaweza kuwa na asili ya Burundi.

Kwa mujibu wa wazee wa Burundi waliohojiwa na mtandao huo, umedai Rais Kikwete anaweza kuwa na asili ya Giteka, Burundi.

“They are of Rwandan origin, but speak Kirundi and solely prefer to be viewed as Burundians. By virtual of that country’s laws, they are indeed Burundians,” limeandika.
So where did President Jakaya Mrisho Kikwete come from? 


There are no original residents of Bagamoyo in Tanzania where Kikwete’s parents are traced. Most people from that area are remnants of slaves who were seem as unfit for the market during the slave trade era. 

Bagamoyo formally (Bwagamoyo) was one of the biggest slave trade centres in East Africa and people were being traded from various areas of East Africa. For those of Bagamoyo, however, almost all came from Burundi and Zaire.

Historical discourse shows that most Tanzanians are from other neighbouring countries. The Ngoni people came from Zulu land in South Africa; Yao used to belong to Mwanamtapa Kingdom; Arabs of Unguja and Pemba Irelands in Zanzibar came from Oman during the rule of Sultan Sayid Said.

Chaga, Maasai and Meru people of Northern Tanzania are traced in Kenya; Hangaza people from Burundi; Haya people from Uganda; Waha (Ha people) arrived in from Zaire and Burundi; the Makonde people (tribe of former Tanzania President Benjamin William Mkapa) came from Mozambique; Nyasa People relocated from Malawi; almost all Mara region dwellers came from Kenya and the list can cover about 80percent of all Tanzanians.

The Singida and some Arusha people like Warangi, Wasandawe, Wabaebaig, Wairaq and Hadzabe are not Bantus, but Semi Nilotic who found themselves in that country after immigration for survival.

Tanzania’s current Constitution states that all people who were present in 1961 from 00.00 mid night during Tanganyika Independence are legally Tanzanians despite their vast origins. It is beyond comprehension therefore why Rwandans who were in Tanganyika from 1959 and before are being evicted as illegal immigrants.

Elderly women are being rounded up at gun point with nothing on them, and forced out to the Rwanda-Tanzania border. The children they had with Tanzania men are remaining, because according to President Kikwete, the children are Tanzanian and not their mother. The same thing is happening to men married to Tanzanian women.

MISS UTALII ALIYEPIGA PICHA CHAFU NA MSANII MANAIKI SANGA APEWA KIPIGO NA MCHUMBA WAKE NUSU YA KUFA


Zile picha za aibu zilizoongoza vichwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii nchini pamoja na nje ya nchi hasa nchini Kenya zilizokuwa zikimuonesha mwanamuziki na msanii wa bongo muvi Manaiki Sanga akiwa na mabint mbalimbali wakiwa kwenye picha utupu sasa tukio hilo limechukuwa sura mpya baada mrembo aliyekuwa mshiriki Miss Utalii 2013 Fathiya Alfani kupigwa nusu ya kupoteza uhai wake na mchumbaake kwa madai ya kumdhalilisha.
Habari za uhakika toka kwa rafiki wa karibu na mrembo huyo ambae amevujisha picha hizi za kupigwa kwa Fathiya aliieleza mtandao huu “ Jamani tumuone huruma Mrembo wa Facebook kwani hali yake sio mbaya amepigwa sana kiasi cha kutolewa nafsi na mchumbaake anaeishi nae huko Buza” Kilisema chanzo hicho
Aidha katika tukio hilo ambalo mtuhumiwa namba moja na Manaiki Sanga aliyeshiriki kwenye filamu za Tikisa, Love Position, Unpassble, Last Coin na Sory my Soni ambayo amecheza kama staa na pia msanii huyo kwenye nyimbo anazotambanazo ni Nafanya Mambo, Ai Wewe Ft Dogo Janja, Twende Sawa Ft prodyuza Mswaki na nyinginezo. Inadaiwa Manaiki kwa sasa anaishi kama digidigi kwa kuhofia kutiwa mikononi na Jamhuri kwa tukio alilolifanya la udhalilishaji wanawake

MTANZANIA AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA MAREKANI...ALIFICHA NDANI YA LAPTOP

Haya mkaka wa Kibongo kwa jina la Joseph Mackubi (I think wamekosea kuspell last name yake) amekamatwa Los Angeles airport (LAX)


Akiwa ameficha madawa ya kulevya aina ya Heroin ndani ya lap top. Jamaa alipita kwenye zile screens pale airport ,kupita tu jamaa wakahisi laptop ina kitu sababu ilikuwa nzito sana ,so wakaitoa wakajaribu kuiwasha wakaona laptop ni mbovu haiwaki ndo wakahisi kuna kamchezo hapo so wakaifungua wakakutaka na 800 grams za heroin....


Jamaa kesha plead guilty and he is facing up to 40yrs in jail....


Habari ikaongeza kuwa watanzania ni among wengi waliokamatwa hapo Los Angeles airport (LAX) wakiwa na madawa ya kulevya..OMG.....OMG...What is happening to our beloved country????


LOS ANGELES—A Tanzanian man faces up to 40 years in prison for trying to smuggle heroin into the United States inside a non-working laptop.


City News Service reports 33-year-old Joseph Mackubi pleaded guilty in Los Angeles federal court Wednesday.
Customs inspectors at LAX noticed that Mackubi's laptop seemed unusually heavy when they conducted a secondary screening last October.
They tried to turn the laptop on and it didn't start. When they noticed the laptop appeared tampered with, they opened it and found 800 grams of heroin.
Mackubi, who traveled to Los Angeles from Nairobi, said he was going to meet a woman he met on the Internet in Alabama.
Several recent drug seizures at LAX involved Tanzanian smugglers who traveled a similar path.

DAKTARI ANASEMA SINA UWEZO WA KUTIA MIMBA NA NYUMBANI NINA WATOTO WAWILI

Nikiwa njiani kutoka mahakamani kusikiliza hukumu ya rafiki yangu aliyehukumiwa miaka 30 nyuma ya nondo kwa - kesi ya kubambikiwa ya kum-baka msichana under 18, msichana mrembo ananiomba lifti, njiani anapoteza fahamu inabidi nimpeleke hospitali.

- Wakati akipata huduma ya kwanza hospitalini hapo, natumia simu yake kuwatafuta jamaa zake, nafanikiwa kuwapata wazazi wake.

-Wakati wazazi wake wanafika hospitali, daktari nae ndio anamaliza kumfanyia vipimo yule msichana na kutueleza kuwa ni mjamzito, muda mchache baadae msichana anapata fahamu, anaulizwa ujauzito wa nani? Msichana anaonyesha kidole kwangu.

-Lahaulaaa..najitetea.... Inabidi daktari anipime na mimi ili kuthibitisha madai ya msichana au la, baada ya dakika kadhaa daktari anakuja na majibu, vipimo vinaonyesha kwamba ile ya msichana hainihusu, vipimo vikasema zaidi, kwamba nina tatizo nililozaliwa nalo, kwamba sina uwezo wa kutia mimba.

GRADUATION PARTY YA DR TEMBA

Dr Temba akitoa shukrani zake mbele ya ndugu na marafiki waliohudhulia graduation party yake iliyofanyaka nyumbani kwani Brooklyn. Ny. Licha ya graduation party hiyo pia alizindua jiko maalum la kuchomea nyama  linalo tumia computer. Jiko hilo limedesign na yeye mwenyewe Dr T. Hayo ni moja ya matunda aliyo yapata katika nondo zake za PHD alizo zipata katika chuo cha Walden.
Hapa Dr Temba akikata kipande cha nyama kilichochomwa katika jiko hilo na kumpa Mh Balozi Manongi, Mh Balozi 
Tuvako Manongi, ni Permanent Mission of Tanzania to the UN
Kila mtua alivutiwa na jiko hilo kama unavyoona kwenye picha.
Mh. Balozi Manongi akipata ukodak na Dr Temba
C.E.O wa Vijimambo Mpwa kutoka Capital akipata ukodak na Mh balozi Manongi.
 Chakula pia kilipata tika katika sherehe hiyo kama unavyo ona.
 Live band nayo ilikuwepo kwenye party hiyo

Tuesday, August 13, 2013

VIFO VYA MATAJILI WAKUBWA VYAENDELEA:::BILIONEA MWINGINE APIGWA RISASI DAR

MAUAJI ya wafanyabiashara wakubwa ‘mabilionea’ yameshika kasi nchini ambapo baada ya tajiri mkubwa Arusha, Erasto Msuya kuuawa kwa risasi hivi karibuni, Agosti 3, 2013 bilionea Elia Daniel Endeni (49) naye aliuawa kwa kupigwa risasi nje kwa mwanamke anayedaiwa kuwa ni mke wake mdogo aitwaye Juliana Labson (28).Tukio hilo lilijiri siku hiyo saa 2 usiku maeneo ya Temeke Mikoroshini jijini Dar es Salaam ambako ni nyumbani kwa Juliana.Elia alikuwa na kampuni iitwayo Elia Herdons Ltd ya kupakua na kupakia mizigo ya makontena bandarini, maduka na majumba ambapo polisi walikuta shilingi 151,000,000 taslimu ofisini kwake akiwa amezihifadhi.
Ilidaiwa kuwa muda huo, Elia alikuwa amefika nyumbani kwa mwanamke huyo lakini kabla hajashuka katika gari lake, Pick-up lenye namba za usajili T 319 AFJ alichomolewa kwenye gari na kupigwa risasi na watu wawili wasiojulikana.
Taarifa zilieleza kwamba waliotekeleza unyama huo walikuwa wakimfuata marehemu huyo kwa nyuma wakiwa kwenye pikipiki.
Baadhi ya watu waliozungumza na gazeti hili walisema marehemu alikuwa na kawaida ya kufika nyumbani kwa Juliana nyakati za usiku na kabla ya kushuka kwenye gari, alikuwa akimpigia simu mwanamke huyo ili afungue mlango.
“Ilikuwa wakati anapiga simu ndipo alivamiwa na watu hao ambao walivunja kioo cha gari kwa kutumia kitako cha bastola kisha kutoa ‘loki’ ya mlango na kumchomoa.
“Walimdhibiti bila kutoa sauti, wakati huo sisi tulikuwa tumekaa nje tukishuhudia lakini tuliamini kwamba huenda walikuwa wamegongana barabarani kwani hata marehemu hakusikika akiomba msaada,” alisema mwanamke mmoja jirani ambaye hakutaka jina lake litajwe gazetini.
Mwanamke huyo aliendelea kusema kwamba hakukusikika mlio wa risasi, bali marehemu alianza kulia ghafla akiomba msaada.
Aliongeza kuwa watu walipokaribia eneo la tukio, wauaji hao walipiga risasi mfululizo hewani, kitendo kilichowafanya watawanyike kuokoa maisha yao na majambazi hayo yakatoweka.
Inadaiwa majirani walipofika, walimkuta tajiri huyo akiwa amelala katika dimbwi la damu huku ameishiwa nguvu kiasi kwamba alishindwa kuongea chochote.
Habari zinasema mke huyo mdogo aliyezaa naye watoto wawili, alipotoka ndani alizimia baada ya kuona Elia akiwa katika dimbwi la damu.
Muda mfupi baadaye, polisi walifika eneo la tukio na kumchukua majeruhi kumpeleka Hospitali ya Temeke ambapo alifariki dunia akiwa njiani.
Taarifa zinadai kwamba Julai 28, mwaka huu marehemu Elia alikoswa na risasi akiwa njiani kwenye gari akitokea msibani Same, Kilimanjaro.
Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Temeke, ACP Engelbert Kiondo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kwamba walifika katika eneo hilo wakiwa na wasiwasi kwamba huenda watu hao walimnyang’anya bastola.
“Ilitubidi twende ofisini kwake Kurasini na kupekua, tukaikuta bastola. Hili suala linaonekana ni kisasi kwa sababu wamemuua bila kuchukua kitu chochote, tunaendelea na upelelezi,” alisema Kamanda Kiondo.
Mazishi ya Elia yalifanyika Jumatano iliyopita, Same ambapo Juliana alikuwa miongoni mwa waombolezaji. Mke mkubwa wa marehemu aishiye Kimara King’ong’o jijini Dar ndiye aliyekuwa ameongoza msiba huo.CHANZO GPL

JENEZA LA BILIONE ERASTO MSUYA ALIYEPIGWA RISASI 20 LAFUNGUKWA KWA RIMOTI, MAZISHI YAKE KUFANYA LEO..


ARUSHA.
MAZISHI ya kifahari yanaandaliwa na familia ya marehemu Erasto Msuya, huku ikielezwa kuwa jeneza litakalotumika kubeba mwili wake linafunguka kwa kutumia ‘rimoti’.

Msuya aliyeuawa wiki iliyopita, anazikwa leo huku familia ikitangaza kutokulipiza kisasi kwa waliohusika, badala yake wamemwachia Mungu.

Kinachovutia katika msiba huo ni jeneza lililobeba mwili wa mfanyabiashara huyo lililoagiz
wa Nairobi, la aina yake huku likifunguliwa kwa kutumia ‘rimoti’.

Jeneza hilo lililoagizwa kutoka Kampuni ya Montezuma & Monalisa Funeral Home, linafunguliwa kwa kubonyeza kifaa maalumu hata mhusika anapokuwa mbali.

Hali hiyo ilionekana kuwaacha na mshangao maelfu ya waombolezaji waliofika kuaga mwili wakati wa ibada iliyofanyika nyumbani kwake, Kwa Iddi, wilayani Arumeru.

Mfanyabiashara huyo aliyeuawa kwa kumiminiwa risasi zaidi ya 20 na watu wasiojulikana, anazikwa leo nyumbani kwao eneo la Kairo Mirerani, Wilaya ya Simanjiro, mkoani Manyara.

Kaka wa marehemu, Israel Msuya, alisema jana kuwa mazishi hayo yatafanyika makaburi ya familia ya mzee Elisaria Msuya ‘Kikaango’, baba wa marehemu Erasto.

Kwa mujibu wa Kamati ya Maandalizi ya mazishi hayo inayoongozwa na kaka mkubwa wa familia ya Msuya, Gady, zaidi ya Sh100 milioni zimepangwa kugharimia shughuli za maombolezo na mazishi.

Jeneza na gari maalumu la kubebea mwili wa marehemu yameagizwa kutoka Kampuni ya Montezuma & Monalisa Funeral Home ya Nairobi, Kenya kwa gharama ya Sh8 milioni.
Chakula, vinywaji, mapambo na magari ya kukodishwa kutoka Arusha kwenda Mirerani na kurudi yanatarajiwa kugharimu zaidi ya Sh80 milioni.

Katika hatua nyingine, polisi mkoani Arusha imeendelea kuwahoji wafanyabiashara maarufu wa madini ya Tanzanite wa Mji mdogo wa Mirerani, wilayani Simanjiro, wakidaiwa kuhusika na kifo hicho.
Habari zilizopatikana jana zinadai mfanyabiashara mmoja kijana ambaye aliibuka ghafla kuwa tajiri mkubwa kutokana na biashara ya madini ya Tanzanite, anashikiliwa Arusha kwa mahojiano. MWANANCHI

HII SASA MBONA NI AIBU JAMANI, KILICHOBAKIA NI KUTEMBEA MTUPU ILI KUONGEZA UMAARUFU.

Mtangazi wa moja ya kituo cha luninga na redio hapa
nchini, Loveness Diva akidaiwa kupiga picha zinazomusonyesha maumbile yake ya siri na kaweka katika mtandao jambo ambalo ni aibu hasa kwa mtu kama yeye 

ambaye ni kioo cha jamii ambaye anapaswa kukemea maovu na vitendo vya kuvunja maadili ya mtanzania kupitia taaluma yake.
Loveness Love katika kipindi cha Ala za Roho.



Kupitia account yake ya instagram, jana Diva alitupia 
picha ya paja lake na kuwaacha mashabiki wake 
wafunguke kama paja lake ni zuri au baya....

Monday, August 12, 2013

UTAJIRI WA ERAST MSUYA ALIEUAWAUKO KIA WEEK ILIYO PITA

Na Mwandishi Wetu, Arusha
MAUAJI ya mfanyabiashara bilionea wa Mererani na jijini Arusha, Erasto Msuya aliyeuawa kwa kumiminiwa zaidi ya risasi 20 kwa bunduki ya Sub Machine Gun (SMG) yameibua mazito ikielezwa kuwa jamaa huyo ameacha utajiri wa kutisha.
Mwili wa Erasto Msuya (kulia) baada ya kupigwa risasi. Kushoto ni gari alilokuwa anatumia.
Uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa Erasto ameacha vitega uchumi vingi ikielezwa kuwa ni miongoni mwa wafanyabiashara wa Mererani wanaoongoza kwa utajiri mkoani hapa, Kilimanjaro na Manyara.
Erasto ambaye aliuawa na watu wasiojulikana Jumatano iliyopita saa 7:00 mchana wilayani Hai, Kilimanjaro akitokea Mererani ni mnunuzi na mmiliki wa machimbo ya madini aina ya tanzanite hivyo alikuwa ni mtu mwenye fedha nyingi.
Hoteli ya Mezza Luna ambayo ni mali ya marehemu Erasto.
UTAJIRI
Imefahamika kuwa katika kipindi cha uhai wake, utajiri wa Erasto ulitokana na uchimbaji na biashara ya madini ya tanzanite katika mji huo mdogo.
Kutokana na biashara zake hizo, alimudu kumiliki mali nyingi zikiwemo nyumba za kifahari za kupangisha na kuishi jijini hapa, Manyara na Kilimanjaro.

ALIISHI KAMA PEPONI
Erasto ameacha jumba la kifahari alilokuwa akiishi kama yupo peponi lililopo maeneo ya Ngaramtoni jijini hapa.
Ilielezwa kuwa jamaa huyo alikuwa akimiliki maghorofa kadhaa mkoani Arusha na huko Mererani.
Kwa mfano, kwa Mererani ndiye mtu wa kwanza kumiliki ghorofa lililopo jirani na stendi kuu.

MAHOTELI
Habari zilizidi kumwagika kuwa Erasto ameacha hoteli nyingi, zikiwemo SG Resort na Mezza Luna zilizopo jijini hapa.
Ilifahamika kuwa hoteli ya SG aliijenga kwa mabilioni kutoka mfukoni mwake na si mkopo wa benki kama wanavyofanya matajiri wengine.

NDEGE BINAFSI
Kama ilivyokuwa kwa matajiri wengine waliofariki miezi kadhaa iliyopita kama Babu Sambeke na Wakili Mawalla, Erasto naye alikuwa akimiliki ndege (private jet) aliyokuwa akiitumia katika biashara zake.

MAGARI YA KIFAHARI
Pamoja na hoteli na majumba ya kifahari, marehemu huyo ameacha magari kibao ya kisasa likiwemo Range Rover Vogue New Model alilokuwa nalo wakati anauawa.
Kwa mujibu wa mmoja wa wafanyakazi wake (jina tunalo), gari hilo alilinunua hivi karibuni kwa dola za Kimarekani 250,000 (zaidi ya shilingi milioni 400 za Kitanzania).
Alisema gari hilo ni toleo la mwaka huu na aliliagiza moja kwa moja kutoka nchini Marekani.
Mbali na gari hilo, mfanyakazi huyo alieleza kuwa Erasto ameacha magari mengine ya kifahari kama Mercedes Benz, Range Rover Sport, Toyota Land Cruiser V8 na magari ya kawaida.
Pia ameacha utitiri wa magari ya kutembeza watalii kwenye mbuga mbalimbali za wanyama.

VITEGA UCHUMI
Uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa Erasto alikuwa akimiliki makampuni kadhaa ya utalii, nyumba za kulala wageni ‘gesti’ hasa katika Mkoa wa Manyara.
Kufuatia kifo hicho, watu waliofurika eneo la tukio walikuwa wakielezea utajiri huo huku wakizililia mali hizo kwa kuwa ameondoka na kuziacha.

MAZISHI
Habari ambazo zililifikia gazeti hili dakika za mwisho, zilieleza kuwa mazishi ya bilionea huyo yalitarajiwa kufanyika leo baada ya makubaliano ya wapi pa kuzikia kama ni Arusha au Upareni.

NINI KIMETOKEA?
Erasto aliuawa na watu wasiojulikana kati ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (Kia) na Mji wa Bomang’ombe katika Mtaa wa Wasomali eneo la Mjohoroni wilayani Hai, Kilimanjaro huku ikidaiwa kuwa tukio hilo lilitokana na visasi hivyo kuzua maswali mengi kuliko majibu.

Sunday, August 11, 2013

AGNESS MASOGANGE AMPONZA AY NA MWANA FA HUKO AFRIKA KUSINI....

Msanii Madee alivyokuwa airport huko South Africa alipekuliwa sana kutokana na historia ya kukamatwa kwa watanzania na madawa ya kulevya kwenye viwanja vya ndege vya huko South Africa. 

Tukio hilo limewatokea Mwana F.A akiwa na swahiba wake A.Y baada ya kufika bondeni kwa ajili ya show ambapo wamepekuliwa kupita kiasi

Mwana F.A hali ilimshinda ikabidi aanze ku-share na marafiki zake kwenye twitter kuhusu mambo yaliyowakuta huko bondeni.
Hizi ni baadhi ya caption za Mwana F.A na watu wengine baada ya tukio hili kutoke.

TAMKO LA JESHI LA POLISI KUHUSU SHEIKH PONDA ISSA PONDA

1. MNAMO TAREHE 10, AGOSTI ,2013 MAJIRA YA SAA 8 MCHANA, MAENEO YA SHULE YA MSINGI KIWANJA CHA NDEGE MANISPAA YA MOROGORO, KULIFANYIKA KONGAMANO LA BARAZA LA EID LILILOANDALIWA NA UMOJA WA WAHADHILI MKOANI MOROGORO. DAKIKA KUMI KABLA YA KONGAMANO HILO KUMALIZIKA ALIFIKA SHEKHE PONDA ISSA PONDA AMBAYE ALIZUNGUMZA KWA MUDA MFUPI.

2. KONGAMANO HILO LILIFUNGWA MAJIRA YA SAA 12:05 JIONI AMBAPO WATU WALIANZA KUTAWANYIKA, BAADHI YAO WAKIWA WAMEZINGIRA GARI DOGO ALILOKUWA AMEPANDA SHEKHE PONDA. BAADA YA KUTOKA KATIKA ENEO HILO, ASKARI WA JESHI LA POLISI WALIZUIA GARI HILO KWA MBELE KWA NIA YA KUTAKA KUMKAMATA SHEKHE PONDA AMBAYE MPAKA SASA ANATUHUMIWA KWA KOSA LA KUTOA MANENO YA UCHOCHEZI SEHEMU MBALIMBALI HAPA NCHINI YENYE MLENGO WA KUSABABISHA UVUNJIVU WA AMANI.

3. BAAADA YA ASKARI KUTAKA KUMKAMATA, WAFUASI WAKE WALIZUIA UKAMATAJI HUO KWA KUWARUSHIA MAWE ASKARI. KUFUATIA PURUKUSHANI HIYO, ASKARI WALIPIGA RISASI HEWANI KAMA ONYO LA KUWATAWANYA.

4. KATIKA VURUGU HIZO, WAFUASI HAO WALIFANIKIWA KUMTOROSHA MTUHUMIWA. HIVI SASA IMETHIBITIKA KUWA SHEKHE PONDA YUKO KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI AKITIBIWA JERAHA KATIKA BEGA LA MKONO WA KULIA LINALODAIWA ALILIPATA KATIKA PURUKUSHANI HIZO.

5. KUFUATIA TUKIO HILO, TIMU INAYOSHIRIKISHA WAJUMBE KUTOKA JUKWAA LA HAKI JINAI IKIONGOZWA NA KAMISHINA WA JESHI LA POLISI CP ISSAYA MNGULU IMEANZA KUFANYA UCHUNGUZI WA TUKIO HILO.

6. AIDHA, JESHI LA POLISI LINATOA WITO KWA WANANCHI KUWA WATULIVU WAKATI SUALA HILI LINASHUGHULIKIWA KISHERIA.

Imetolewa na:-

Advera Senso- SSP

Msemaji wa Jeshi la Polisi.

MWANAUME AFIA GESTI AKIFANYA MAPENZI NA MPENZI WAKE JIJINI DAR

MFANYABIASHARA wa sokoni Kariakoo jijini Dar ambaye pia ni mkazi wa Kigogo Flesh, Hamad Kiponda (46), amefia nyumba ya kulala wageni akiwa na mpenzi wake Latifa Saidi (25).


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi alisema tukio hilo lilitokea juzi saa saba mchana katika nyumba hiyo iitwayo Sansiro iliyoko Kiwalani kwa Gude.


Alisema kuwa kutokana na tukio hilo, Latifa alitoa taarifa polisi kwamba mpenzi wake aliishiwa na nguvu ghafla na kuanza kutokwa povu mdomoni wakati wakifanya mapenzi.

Minangi alieleza kuwa mtoa taarifa huyo aliomba msaada kwa wahudumu wa gesti hiyo, lakini Kiponda alifariki papo hapo kabla ya kupelekwa hospitali.


Chanzo cha kifo chake bado hakijafahamika, wakati mwili wake umehifadhiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa uchunguzi zaidi huku Latifa akishikiliwa kwa kuhojiwa.

Wakati huo huo, moto umezuka ghafla katika nyumba ya Matiku Nestori (43) mkazi wa Tuamoyo Kigamboni, yenye vyumba sita na kuteketeza vyumba vinne pamoja na mali zote zilizokuwemo ndani ambazo bado thamani yake haijajulikana.


Kwa mujibu wa Kamanda Minangi tukio hilo lilitokea juzi saa nane mchana na chanzo cha moto huo inasadikiwa ni hitilafu ya umeme iliyosababisha moto kuanzia kwenye nguzo.

KUTOMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO NI SAWA NA KOSA LA JINAI AMBALO HUKUMU YAKE NI "KUMWAGANA"

Ndoa yoyote ambayo mke au mume hafiki kilele hiki cha Mlima Kilimanjaro…,hiyo siyo ndoa inayokwenda sawa na kuna madhara makubwa kwa pande zote, kwa maana ya mwingine kuweza kuamua kutoka.


Ni vizuri walio kwenye ndoa kujifunza namna ya kupeana raha iwapasayo wanandoa kuipata. Kama unafikiri mkeo unaye kwa sababu amekuja kutafuta kula au kununuliwa magari na nguo, hilo ni kosa. Tafakari namna ya kupeana raha kwa kila kona.



Kama ni kula, kila mtu anaweza kujitafutia kwa njia mbalimbali kama ni kuuza mama ntilie na kadhalika.


Mwanamke yuko kwa mume kwa sababu anahitaji kupata vitu ambavyo wanawake huvipata kutoka kwa wanaume; …Mume ndiyo kichwa, iongoze ndoa yako vizuri kwa hekima; …Kichwa kikiwa ‘bangi’, ubavu (mke) atafanya nini?



Ni suala la lazima

Kwa asili, inatakiwa mke na mume kufanikisha zoezi hilo la kuwezeshana kufika kileleni na ni jambo muhimu kama ilivyo kutoka jasho mwilini, maana siyo tu mwili unaondoa uchafu ndani ya mwili, pia inasaidia kuupoza mwili kuwa sawasawa.


Najua wapo wanaoweza kusema aaah mbona mimi nimekaa mwaka sitaki tena mwanaume au mwanamke na sijapata madhara… Inawezekana ni kweli, lakini wengi hupata madhara.


Kadhalika kuna wengine wanafanya vitu vya hatari kama kutumia vitu mbalimbali kama mwanasesele (sex toys) au mashine maalumu zenye umbo kama la mwanaume au wengine kujichua au kusagana.



Ukidumu bila tendo la ndoa muda mrefu, baadhi ya madhara madogomadogo ni kama kuwa na hasira za mara kwa mara katika mambo madogo, hii hasa kwa wanawake ambao walishawahi kuwa na uhusiano unaokaribiana kuoana au waliwahi kuwa kwenye ndoa kisha wakatoka.



Kwa wanaume madhara yake ni kupendelea zaidi kuangalia picha za ngono. Kwa wote kwa maana ya wanaume na wanawake huwa na hali ya kusahausahau.



Kwa wanawake, wapo ambao hutokwa damu nyingi wakati wa hedhi. Kwa watu wote yaani wanawake na wanaume hupenda kurukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu) na wakati mwingine huongea kwa sauti ya juu hasa kunapotokea migogoro. 



Wengine wana uwezo mkubwa wa kutukana au kutoa kauli yoyote unapomuuzi, anasema Leonard Trelawny katika jarida lake la mageuzi alilochapisha, New York Marekani.



Athari nyingine ni kuumwa na kichwa kwa wanaume na wanawake, kupoteza umakini katika kazi na kwa jumla sehemu za kazi wengi wa watu ambao wamesema hawataki tena kusikia mapenzi, siyo viongozi wazuri, wana kauli chafu, hata uamuzi wao mara nyingi siyo mzuri, ingawa siyo wote.




Hali kadhalika siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno. Aidha, unawaweza kuanzisha tabia nyingine mbaya kama ulevi, kukaa ofisini tu bila sababu.


Dismas Lyassa ni mtaalamu wa uhusiano aliyesajiliwa na Serikali kupitia taasisi ya Global Source Watch

-Mwananchi

SHEREHE ZA EID MUBARAK NEW YORK

Waheshimiwa wakikaribishana kwenye meza kuu kwenye sherehe ya Eid Mubarak iliyofanyika 30 Overhill Rd Mt Vernon NY. Sherehe hizo ziliandaliwa na Waislam wa New York na kukaribisha wana jumuia wote pamoja na familia zao bila kujari dini. Hiyo ndiyo dhana tunayojivunia watanzania ya kushirikia katika shughuri za kijamii bila kubaguana Tanzania Oyeeee Mungu ibariki Tanzania.
Katibu wa jumuia ya wataznania New York bwana Shaban Mseba akimuongaza Mgeni rasmi Mh. Balozi Manongi akiwaslri kwenye sherehe hiyo 
Mh. Balozi Manongi akiongea machache mbele ya watanzania waliojitokeza kwenye sherehe hiyo 
Sherehe hizo ziliudhuriwa na mabalozi wetu wote wawili wa hapa New York, Hapa ni Mh. Balozi Mwinyi akiongea kwenye sherehe hiyo.

Hapa ni Mh. Balozi Mero akiongea machache na pia alitumia nafasi hii kuwaaga wananewyork community, Mh. Mero ameteuliwa kuwa balozi wa Tanzania nchini Geneva na muda wowote ataodoka. 
Katibu wa new York Community bwana Shaban Mseba akiongea
Bwana Hajji Khamis mwenyekiti wa New York Community akitoa chukrani mbele ya watanzania waliojitokeza katika sherehe hizo za Eid Mubarak. Kwa picha bofya read more

Saturday, August 10, 2013

BABA AMLAWITI MTOTO WAKE WA KIUME NA KUMBAKA SHEMEJI YAKE JIJINI DAR

Binti aliyebakwa akiwa na mtoto aliyelawitiwa.

MWANAUME aliyefahamika kwa jina moja la Mohammed, mkazi wa Kigamboni jijini Dar amedaiwa kuwafanyia unyama watoto wawili, akimlawiti mwanaye wa kufikia na kumbaka mdogo wa mkewe...

Akizungumza na mwandishi wetu juzi nyumbani kwake, mke wa mtuhumiwa huyo, Zubeda alisema watoto waliofanyiwa hivyo ni mwanaye wa kiume (6) na mdogo wake wa kike (16) (majina tunayo).

Mwanamke huyo alisema: Nilikutana na Mohammed nikiwa na mtoto huyo wa kiume, ndani ya uhusiano wetu tukajaliwa kupata mtoto wa kiume hivi karibuni, hapo ndipo matatizo yalipoanza. 

“Alihama chumba ili mimi nilale na kichanga, akaenda kulala na mtoto huyo. Niliamini angemchukulia kama mwanaye kwa kuwa tulishaoana.

Baadhi ya majirani wakiwa na huzuni

“Mwaka jana alikuja mdogo wangu, tukabadili kulala, tuliwaacha watoto hao walale chumba kimoja mume wangu akarudi chumbani. Alizua tabia ya kutoka usiku eti kuvuta sigara kumbe alikuwa anakwenda kumwingilia mdogo wangu,” alizidi kudai mwanamke huyo. 

Alidai kuwa ikafika wakati akagundua mwanaye huyo anajisaidia kwenye nguo na kinyesi kinakuwa na damu, akawa anampiga na kumwamuru afue nguo mwenyewe.

“Juzi shoga yangu mmoja alikuja akaniambia amemsikia mume wangu akitamba baa kwamba amemtoa ‘usichana’ mdogo wangu.

“Nilimuuliza mtoto wangu ambapo aliniambia ni kweli baba yake amekuwa akienda chumbani kwao na kumfanyia mchezo mbaya.

“Ukweli taarifa hizo zilinishtua sana, sikutarajia mdogo wangu kama angeweza kulala na mume wangu, nilimpiga sana.

“Wakati namwadhibu mtoto wangu naye akaona kumbe kitendo kile ni kibaya akasema hata yeye baba yake amekuwa akimfanyia mchezo mchafu kila siku usiku,” alisema mama huyo huku akilia.

Wakati watoto hao wakikiri kufanyiwa hivyo, Mohammed alikuwa akiwasikia na kujitetea kwamba walikuwa wakimsingizia, ghafla alipokea simu na kusema anakwenda kwenye biashara akirudi watazungumzia suala hilo lakini hakurudi tena.

Baada ya kuona hivyo, mke huyo alikwenda kutoa taarifa katika Kituo cha Polisi cha Kigamboni na kufungua kesi mbili zenye namba KGD/RB/5218/2013 KUBAKA na KGD/RB/5244/2013 KULAWITI, mpaka sasa mtuhumiwa huyo anasakwa na polisi.

Mwanamke huyo alisema alipewa PF3 na kuwapeleka waathirika hao Hospitali ya Vijibweni na vipimo vilionesha waliharibiwa sehemu zao za siri.

Mama huyo alisema daktari amemwambia mtoto wake wa kiume angeweza kupoteza uhai kama angeendelea kufanyiwa mchezo huo.

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mji Mwema, Mwinyi Baishe alithibitisha kusikia madai hayo.

-GPL

KIJANA ATIWA MBARONI KWA KUFANYA MAPENZI NA NG'OMBE HUKO KILIMANJARO..... ANADAI KILA AKITONGOZA HUKATALIWA

JESHI la polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia kijana mwenye umri wa miaka 15 mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondari Kelamfua iliyopo wilayani Rombo baada ya kukutwa akimwingilia ndama wa ng’ombe.


Akithibitisha, Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Kilimanjaro, Robert Boaz alisema tukio hilo lilitokea Agosti 3 mwaka huu saa 5:10 usiku nyumbani kwao Kelamfua.

Boaz alisema kuwa baba wa kijana huyo ndiyo aliyemfumania kwa kuwa alikuwa akimfuatilia kwa muda mrefu na ndipo alipomkamata.

Alisema kuwa kabla ya tukio hilo kijana huyo aliwahi kukutwa akifanya mapenzi na kuku na kuanzia hapo mzazi wake huyo akaanza kumfuatilia na hivyo kumkamata akifanya mapenzi na ng’ombe ambaye ni ndama.

Kamanda alisema kuwa baada ya kukamatwa kijana huyo alifikishwa kituo cha polisi na kuhojiwa ambapo alikiri kufanya kitendo hicho na kueleza kuwa amekuwa akitafuta wasichana bila mafanikio.


Aidha aliongeza kuwa kila msichana anayemtakia neno la mapenzi amekuwa akitaka fedha nyingi wakati yeye ni mwanafunzi hana uwezo wa kupata fedha.

Boaz alisema kuwa baba wa kijana huyo alishapata taarifa siku za nyuma kuhusiana na tabia ya kijana wake huyo na ndipo akaanza kumfuatilia na kwa sasa anashikiliwa na polisi uchunguzi zaidi ukiendelea.

Friday, August 9, 2013

KIFO CHA KIKATILI CHA MSUYA

Sijui nchi yetu inaeleke wapi? Mauaji kama haya  yasipokomeshwa pamoja na uhalifu mwingine usio na msingi basi tujue wazi kwamba tunacheza na moto ambao kuuzima itakuwa kazi. Vyombo vya usalama na sheria zinabidi ziimarishwe zaidi.