HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Monday, January 26, 2009
Balozi mpya wa Marekani kwenye Umoja wa Mataifa, Bi. Susan Rice, leo amewakilisha utambulisho wake kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Ban Ki-Moon. Pichani juu anaonekana akijibu maswali toka kwa waandishi wa habari mara baada utambulisho. Bi. Rice aliwahi kuwa katibu msaidizi katika wizara ya mambo ya nje inayohusika na masuala ya Afrika wakati wa uongozi wa Rais Clinton. Yeye atakuwa ni mwanamke Mmarekani mweusi wa kwanza kushika nyadhifa hiyo ya ngazi ya juu kwenye Umoja wa Mataifa.
No comments:
Post a Comment