HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Monday, January 26, 2009
Kesi ya Thomas Lubanga, aliyekuwa kiongozi muasi ya majeshi yanayopigana Congo, imeanza kusikilizwa leo huo The Hugue katika mahakama ya Kimataifa. Picha ya juu anaonekana akiingia mahakamani(01/26/2009) na ya chini akiwa kijijini Barriere, Congo akizungumza na wanakijiji(06/05/2003).
No comments:
Post a Comment