Saturday, January 10, 2009

Hivi tunaweza kuitafsiri vipi picha hii? Nini kilikuwa kwenye mawazo ya Mwalimu? Unadhani mzee Kaunda anadokolea macho nini? Au vipi mzee wetu Kawawa?

No comments:

Post a Comment